Salaleh yaani umeniweka kwenye kundi la watu wa hovyo. Ngoja nilale kwanza huku nikitafakari kauli yako ya madharau.
Any way all the best, kwasasa.
Hapana ndugu nilikuita ulione hilo nikiamini nilikuasa watu humu si vyema kuwadharau au kujifanya mjuaji unilaterally.
Kwamba nilitambua umenisoma ndiyo maana nikaona Kwa vile alikuhusisha, kistaarabu niweke msisitizo wa kukuonyesha niliyokuwa nayasema.
Hapo nimempa sindano ya kwanza ningali na store zima at his disposal ikimpendeza.