Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)

Results are only viewable after voting.
Baada ya kupata maongezi na ndugu mmoja akanipa facts za jinsi US inashughulika na wahamiaji haramu. Lakini alisema kimsingi Obama alisafirisha wahamiaji wengi kuliko Trump.

Wadau wanaotetea wahamiaji kubaki US ni wale wanaosema nani atavuna mazao au kubeba boksi, kazi ambazo kwa watu waliokuja kiharamu kwa kiasi kikubwa wanajikuta wanazifanya.

Mkurugenzi mmoja wa taasisi ya US inayofanya kazi zake Dar na Mtwara aliniambia kuna wanawake masikini wa Mtwara walikataliwa kuja US kutembea kwa kuwa walikuwa maskini sana.

Japo yule mkurugenzi aliniambia wao kama wamarekani walishaonesha kuwa ni fedha zao ndizo zitatumika kuwahudumia wanawake wale.

Hii inaonesha kwamba wamarekani wanabania sana VISA zao kwa kutohitaji watu waje huku, hata hivyo watu hufanya vya kufanya hadi wakafika.

Wahamiaji haramu hasa wa Amerika Kusini ndio hasa walengwa kwa kuwa ni rahisi wa walatino kuingia Marekani kiharamu kuliko Mtanzania.

Anyway, nafuatilia mawazo ya watu mbalimbali kwenye majukwaa mbalimbali naona watu wanahofu sana Trump kurudi madarakani.

Na inaonekana kabisa likelihood ya Trump kurudi ni kubwa, tutajua kesho kuhusu hilo ila pameanza kuchangamka.

The good thing hapa nilipo hapako politically active kwa hiyo sioni maandamano wala mazaga kama hayo, niliwaza nitembelee sehemu hizo ili ku-experience wanachokifanya ila nimeona bora hela yangu niitumie kwenda Las Vegas msimu wa sikukuu.

Point ya msingi, wageni wanaomuogopa Trump kwa asilimia nyingi ni watu haramu. Ila kama tusio haramu tutarudishwa, ndugu zangu niagizieni vitu vya kuwaletea kabisa. Though nikirudi kimkataba nitakuwa niko vyema sana... Ila niagizeni, kama nitarudi December nitawaambia, niagizeni kabisa.

Salaam kutoka kwa Biden
Muda si mrefu patabadilika itakuwa salamu kutoka kwa Trump/Kamala
 
kati ya trump na kamalla, kwa future ya marekani bora ashinde TRUMP, yule maza cheka cheka ataingizwa chaka na wahuni kama anavyoingiza maza yenu huku, na USA itaanza kuwa ya hovyo, isiyotawalika, uhuni utazidi, magenge yatazidi, wahamiaji watazidi,na uchumi utaanza kuathirika, baada ya muda CHINA ana take over u superpower.
Ogopa mifumo, watu wako siriaz na kazi zao. Mifumo yao imejengeka sana.
 
Kwa mwendo huu Trump anamla mtu kichwa mapema asubuhi.

IMG_20241106_071955.jpg

Akapumzike nyumbani Kamala Harris, Dunia haitaki vita!

Alikuwa wapi kusimamisha vita vinavyorindima duniani kote?

Akwendree Kamala Harris.
 
Acha papara anything can happen hilo halina ubishi.

Ila mada yako umeianzisha mapema kwa ushabiki tu, at this point in time; those early results contradict nothing from the ‘exit poll’.

Nyota njema kuonekana asubuhi hukuiona?

Kukerwa na vita si ushabiki.

Bila shaka usayuni utakuwa unakutafuna.

Kwa kutosimamisha vita duniani, ninakazia:

"Akwendree tu ni heri ya adui kuliko minafiki!"
 
Udini tuu mpuuzi wewe, results ni as expected, huwezi kutegemea Kamara ashinde West Virginia au Trump ashinde New York, matokeo bado mpaka uanze kuona Pa, Michigan or Wisconsin..tulia
 
Nyota njema kuonekana asubuhi hukuiona?

Kukerwa na vita si ushabiki.

Bila shaka usayuni utakuwa unakutafuna.

Kwa kutosimamisha vita duniani, ninakazia:

"Akwendree tu ni heri ya adui kuliko minafiki!"
Ndio maana nikakwambia umeandika kishabiki.

Uchaguzi wa marekani unaenda na electoral colleges na kuna maeneo ni hard core republican na mengine ni hard core Liberals.

Mimi sifuatilii uchaguzi, ila kama eneo linalo tangazwa ni ngome ya Republican surely watachukua colleges nyingi.

Kwa muda huu mchanga ni mapema sana kumshabikia mtu.

The mere fact umeleta mambo ya usayuni inaonyesha utoto wako. Mtoto wa Trump (Ivanka Trump) mumewe ‘Jared Kushner’ ni Jew; mtu ambae Trump alipokuwa raisi alimteua kuwa M.E envoy wa US na kupeleka kufungua embassy Jerusalem (not sure you understand how that was controversial in M.E politics).

Ndio maana uwa ninasema over 90% ya wachangiaji wa jukwaa la siasa hata siasa zenyewe hawazijui.
 
Unaonekana kuwa na machungu sana na huyu mama.

Nani asiyejua ya electoral colleges labda mbumbumbu asiyemo jf humu. Hayo eleza wanao wa chekechea nyumbani.

Msingi wa hoja:

"Nyota njema huonekana asubuhi na tayari keshaanza kuchezea kichapo na alipo kimuhe muhe kinamhusu!"

Kwa hakika acha apigwe:

Ama kwa hakika kulia na kucheka yote kwa zamu!

Nisiache kukwambia acha ujuaji ndugu.

"Anonymity uionayo humu usipoielewa unaweza kujidanganya kushauri wakuu wako!"
 
Unaonekana kuwa na machungu sana na huyu mama.

Nani asiyejua ya electoral colleges labda mbumbumbu asiyemo jf humu. Hayo eleza wanao wa chekechea nyumbani.

Msingi wa hoja:

"Nyota njema huonekana asubuhi na tayari keshaanza kuchezea kichapo na alipo kimuhe muhe kinamhusu!"

Kwa hakika acha apigwe:

Ama kwa hakika kulia na kucheka yote kwa zamu!

Nisiache kukwambia acha ujuaji ndugu.

"Anonymity uionayo humu usipoielewa unaweza kujidanya kushauri wakuu wako!"
Goodluck!
 
Braza Juma uko na shida sana wewe asbh yote hii una acha kuenjoy morning glory unakuja kumchamba kamala hapa
 
Braza Juma uko na shida sana wewe asbh yote hii una acha kuenjoy morning glory unakuja kumchamba kamala hapa

Niite braza Joseph ukiniita braza juma labda kama ni kuni tarai.

Wengine sisi maparoko ndugu yangu, tumaini letu ni kwa bwana.

Nadhani umenisoma, au siyo ndugu yangu?
 
Did I ask for any?
Well it’s because you are ambitious and have your pre determined election results in your head.

Your wishes might be granted in the end; but then it won’t be because of science but purely luck at this point; given the ‘exit poll’.

It’s the reason I wished you luck, not that I care as far as global political implications are concerned.
 
Marekani haiko tayari kumuweka rais wa kike kwa sasa, Ingekuwa hivyo basi Hillary Clinton angeshakuwa. Hata sisi huku Tanzania haipo tayari kuendeshwa na Rais wa Kike basi tu ni vile katiba imeforce aingie.

Ukweli uko 2025.
 
Trump ndiyo mkorofi kuliko Kamala labda kama unajisahaulisha. Mgogoro wa Israel na Palestine Trump atauchochea zaidi.
 
Back
Top Bottom