Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 165
- 450
Baada ya kupata maongezi na ndugu mmoja akanipa facts za jinsi US inashughulika na wahamiaji haramu. Lakini alisema kimsingi Obama alisafirisha wahamiaji wengi kuliko Trump.
Wadau wanaotetea wahamiaji kubaki US ni wale wanaosema nani atavuna mazao au kubeba boksi, kazi ambazo kwa watu waliokuja kiharamu kwa kiasi kikubwa wanajikuta wanazifanya.
Mkurugenzi mmoja wa taasisi ya US inayofanya kazi zake Dar na Mtwara aliniambia kuna wanawake masikini wa Mtwara walikataliwa kuja US kutembea kwa kuwa walikuwa maskini sana.
Japo yule mkurugenzi aliniambia wao kama wamarekani walishaonesha kuwa ni fedha zao ndizo zitatumika kuwahudumia wanawake wale.
Hii inaonesha kwamba wamarekani wanabania sana VISA zao kwa kutohitaji watu waje huku, hata hivyo watu hufanya vya kufanya hadi wakafika.
Wahamiaji haramu hasa wa Amerika Kusini ndio hasa walengwa kwa kuwa ni rahisi wa walatino kuingia Marekani kiharamu kuliko Mtanzania.
Anyway, nafuatilia mawazo ya watu mbalimbali kwenye majukwaa mbalimbali naona watu wanahofu sana Trump kurudi madarakani.
Na inaonekana kabisa likelihood ya Trump kurudi ni kubwa, tutajua kesho kuhusu hilo ila pameanza kuchangamka.
The good thing hapa nilipo hapako politically active kwa hiyo sioni maandamano wala mazaga kama hayo, niliwaza nitembelee sehemu hizo ili ku-experience wanachokifanya ila nimeona bora hela yangu niitumie kwenda Las Vegas msimu wa sikukuu.
Point ya msingi, wageni wanaomuogopa Trump kwa asilimia nyingi ni watu haramu. Ila kama tusio haramu tutarudishwa, ndugu zangu niagizieni vitu vya kuwaletea kabisa. Though nikirudi kimkataba nitakuwa niko vyema sana... Ila niagizeni, kama nitarudi December nitawaambia, niagizeni kabisa.
Salaam kutoka kwa Biden
Muda si mrefu patabadilika itakuwa salamu kutoka kwa Trump/Kamala