Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)

Results are only viewable after voting.
Kura zinahalalisha anaetakiwa awe namba Moja na sio zinaamua akaliae kiti!

Anaekalia kiti alishaandaliwa kukalia hicho kiti kabla ya kura kupigwa!

Hata huku kwetu Hali ni hiyo hiyo!
 
Kura zinahalalisha anaetakiwa awe namba Moja na sio zinaamua akaliae kiti!

Anaekalia kiti alishaandaliwa kukalia hicho kiti kabla ya kura kupigwa!

Hata huku kwetu Hali ni hiyo hiyo!
Sio kweli, Marekani una shinda kwa kura.
 
Mbona habari ulioleta na ulichoandika tofauti kabisa .
Ajabu watu wamekusapoti
 
Trump ashinde tu ili kuokomesha ushoga na usagaji maana chama cha kamala agenda zao ni kutoa mimba na ushoga
 
Back
Top Bottom