kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
ndomana chekacheka hovyo haishiwi....anataka akalete mambo ya Gabon white houseMAREKANI HAIWEZI KUONGOZWA NA MSIMBE!
MAKE AMERICA GREAT AGAIN!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndomana chekacheka hovyo haishiwi....anataka akalete mambo ya Gabon white houseMAREKANI HAIWEZI KUONGOZWA NA MSIMBE!
MAKE AMERICA GREAT AGAIN!
Ndo mzuri ili Waafrika wabaki makwao siyo wanatuibia Kisha wanakimbilia marekaniTrump sio kabisa.
Ana sera mbovu sana za uhamiaji.
Hataki wahamiaji kule marekani.
Duania yote ni kwetu kwa sababu hata hapo unaposema ni kwenu ni mipaka ya kikoloni katika kujigawanyia utawala.Ndo mzuri ili Waafrika wabaki makwao siyo wanatuibia Kisha wanakimbilia marekani
Akishinda nifuate pm mkuu utanipa namba nikutumie 1 MAkishinda utakana hii kauli Yako ?
Una hiyo hela chief?Akishinda nifuate pm mkuu utanipa namba nikutumie 1 M
Hii ni ahadi yangu kwangu!
Unabii unasema ni Harris, pole sana. Keep my words!!😋Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Yakiwa yamebaki masaa machache sana ili uchaguz ufanyike nchini Marekani
Mimi pia naona kwamba yamebakia masaa machache sana pia ili ndugu yangu Donald trump aweze kutangazwa mshindi wa urais wa America
Mimi namtakia ushindi mwema
Mimi namtakia Urais mwema
Mimi namtakia awamu njema
Mimi namtakia maisha
Asanten
Beira boy
Nanyupu
PIA SOMA
- Ujue uchaguzi wa Marekani (USA) na jinsi rais wake anavyochaguliwa
Matokeo ya huo uraisi huwa hayatabiriki.Leo Novemba, 5 mwaka 2024 wananchi wa Marekani wanapiga kura kuchagua rais wa nchi hiyo atakayeongoza kwa kipindi cha miaka minne
Mchuano mkali ni kati ya makamu wa rais wa sasa BI. Kamala Harris (60) wa chama cha Democratic na Bw. Donald Trump wa cha Republican
Trump ana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi huu kutokana na imani kubwa kwa wananchi wa nchi hiyo hasa wadhungu weupe na matajiri kuwa atainua uchumi wa nchi hiyo
Atamaliza vita kati ya Urusi na Ukraine pamoja na mipigano yanayoendelea Mashariki ya kati Israel na Palestine/Hisborrha
Pia wananchi wa USA wanaamini Trump akiwa madarakani atadhibiti wahamiaji haramu kuingia kiholela nchini humo sera ambayo amekuwa akiihubiri kwenye kampeni zake
Aidha wanaamini mgombea huyo ataimarisha uhusiano wa kibiashara na China na Urusi na kwamba atapunguza migogoro ya kivita kati ya nchi hiyo na China na Rusia hivyo kuimarisha uchumi
Wamarekani wanaamini pia Trump atadhibiti ugaidi nchini mwao na kuwafurusha wahamiaji haramu na kuthibiti utoaji misaada kwa nchi masikini za dunia ya tatu
Karata yangu miye pia napa mwamba Donald Trump kushinda na kuibuka kidedea kwenye uchaguzi wa leo
Comasava
Machawa kwa kurukia mambo yanayowazidi kimo na uwezo hakika hamjambo!Karata yangu miye pia napa mwamba Donald Trump kushinda na kuibuka kidedea kwenye uchaguzi wa leo.
Leo Novemba, 5 mwaka 2024 wananchi wa Marekani wanapiga kura kuchagua rais wa nchi hiyo atakayeongoza kwa kipindi cha miaka minne
Mchuano mkali ni kati ya makamu wa rais wa sasa BI. Kamala Harris (60) wa chama cha Democratic na Bw. Donald Trump wa cha Republican
Trump ana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi huu kutokana na imani kubwa kwa wananchi wa nchi hiyo hasa wadhungu weupe na matajiri kuwa atainua uchumi wa nchi hiyo
Atamaliza vita kati ya Urusi na Ukraine pamoja na mipigano yanayoendelea Mashariki ya kati Israel na Palestine/Hisborrha
Pia wananchi wa USA wanaamini Trump akiwa madarakani atadhibiti wahamiaji haramu kuingia kiholela nchini humo sera ambayo amekuwa akiihubiri kwenye kampeni zake
Aidha wanaamini mgombea huyo ataimarisha uhusiano wa kibiashara na China na Urusi na kwamba atapunguza migogoro ya kivita kati ya nchi hiyo na China na Rusia hivyo kuimarisha uchumi
Wamarekani wanaamini pia Trump atadhibiti ugaidi nchini mwao na kuwafurusha wahamiaji haramu na kuthibiti utoaji misaada kwa nchi masikini za dunia ya tatu
Karata yangu miye pia napa mwamba Donald Trump kushinda na kuibuka kidedea kwenye uchaguzi wa leo
Comasava
KWenye hii issue trump anaweza poteza kura nyingi, japo yeye alisema anamaliza vita kiujumla middle east, ila kitendo cha kutospecify gaza na ile issue ya kuhamisha ubalozi anaweza liwa kichwa kimasihara hivihivi.Uchaguzi huu unaweza amriwa na kura kidogo kama 50,000.
Kuna kura 200,000 za wapinga vita ambao walikuwa ni trade mark ya democrats hao wameamua this time atawatambua:
Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!
Somo murua kwa walio madarakani kujua wenye nchi wananchi!
KWenye hii issue trump anaweza poteza kura nyingi, japo yeye alisema anamaliza vita kiujumla middle east, ila kitendo cha kutospecify gaza na ile issue ya kuhamisha ubalozi anaweza liwa kichwa kimasihara hivihivi.