Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Trump Hana nia njema na watu wenye asili ya afrika ,ndiyo maana katika utawala wake kulikuwa na matukio mengi ya watu wa asili ya afrika kuawa na polisi Marekani na serikali Ku to jari
Trump ni mwehu sana!
 
Sema kondoo mnamuhitaji awachunge.

Dunia haina uhitaji wa yeyote si Trumpo si mwengine yeyote. Tunae Muumba wetu, anatosha kabisa tena na zaidi.
Kwahiyo Iran haina uhitaji wowote na Ayatollaha? Hebu nenda pale Tehran kaseme hivyo
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Yakiwa yamebaki masaa machache sana ili uchaguz ufanyike nchini Marekani

Mimi pia naona kwamba yamebakia masaa machache sana pia ili ndugu yangu Donald trump aweze kutangazwa mshindi wa urais wa America

Mimi namtakia ushindi mwema
Mimi namtakia Urais mwema
Mimi namtakia awamu njema
Mimi namtakia maisha

Asanten

Beira boy
Nanyupu

PIA SOMA
- Ujue uchaguzi wa Marekani (USA) na jinsi rais wake anavyochaguliwa
🫱🏽‍🫲🏾🫱🏽‍🫲🏾🫱🏽‍🫲🏾🫱🏽‍🫲🏾🫱🏽‍🫲🏾
 
Trump sio kabisa.

Ana sera mbovu sana za uhamiaji.

Hataki wahamiaji kule marekani.
Kwani hamuna makwenu mzee si mubakie makwenu na nyie wakataeni makwenu lazima wataanza kuwaheshimu itapatikana Ile fifty fifty kwa sera hii naungana na dt ila kwengine kote sikubaliani nae pia nakubaliana nae kwenye sera za machoko nb marekani rais hata awe baba angu mzazi basi atakua tu rais wa hovyo muuaji katili
 
Hakuna kampuni inayoweza kutupa amana zake kwa jambo lililo wazi kiasi hiko. Huko ni sawa na kumwaga maburungutu ya pesa mitaani wahuni wajiokotee bila jasho.
Inaonekana upo kwenye electrol mkuu enhee nani ni nani
 
Sasa hivi haifai kutoa maoni because the election is underway.
Lakini asubuhi leo nimeamka nimeota natembea mtaani,kila mtu nayekutana ananiambia"Nimekuona kwenye TV jana.
Wananiambia waliniona kwenye TV katika kipindi cha kigogo mmoja hapa nchini kinaitwa,"Who wants to be a millionaire?"
"Who wants be a millionaire ', ndio mambo alivyokuwa anafanya Trump.
Lakini mdada mmoja yule, Celestial,alitabiri four years ago kwamba Kamala Harris atashinda.
Halafu Trump,siku Ile walipomkwaruza na risasi,Ile assassination attempt,ndio siku hiyo hiyo nilikuwa kijijini kule and someone tried to ",assassinate" me, and I ran away from the village.
 

Attachments

  • Screenshot_20241105-181909.jpg
    Screenshot_20241105-181909.jpg
    197.8 KB · Views: 2
Republican vice-presidential nominee JD Vance cast his ballot in-person this morning at his polling place in Cincinnati.

The senator appeared in good spirits as he arrived at St. Anthony of Padua Church to vote with his wife, Usha, and their children.

After casting his ballot for the Trump-Vance ticket, Vance told reporters he was thankful to those who came out to see “one of the great traditions in American democracy.”

“I feel good, you never know until you know, but I feel good about this race,” Vance said.

“I felt good about my own race a couple years ago when I voted in this exact same spot. Hopefully it goes as well for President Trump and me as it went for me a couple years ago in the state of Ohio.”

Vance acknowledged that in a race this closely divided, no matter who wins the election, at least half of the country will be disappointed. But he said, if elected, he will still treat those who did not vote for his ticket as American citizens.

“I think my attitude is the best way to heal the rift in the country is to try to govern the country as well as we can, create as much prosperity as we can for the American people and remind our fellow Americans that we are all fundamentally on the same team, no matter how you voted,” Vance said.

“I certainly hope you vote for Donald J. Trump today … but if you vote the wrong way, in my view, I’m still going to love you, I’m still going to treat you as a fellow citizen and if I am lucky enough to be your vice president I’m going to fight hard for your dreams and your family over the next four years.”

Vance said he hasn’t had a chance to speak to the former president today, but he plans to watch the election results with Trump in Palm Beach later tonight. He said “my heart is just overwhelmed with gratitude” to be campaigning for vice president of the United States.

“The fact that I’m standing here is a testament that we live in the greatest country in the world,” Vance said.
 
Back
Top Bottom