Mimi ni shabiki wa Trump lialia, lkn Kamala anashinda na ndio mwisho wa dola ya Marekani
Marekani kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa very very weak.
China ndio superpower ajaye.
Ray Dalio aliwahi kutabiri anguko la Marekani na kwenye kitabu chake cha "New World Order" alionesha namna trend za hizi super powers zinavyokua na kupotea. Marekani ipo mwishoni mwake, na kwa super powers wengi wakifikia hapo basi raia zake wanakuwa wameendekeza ujinga, zinaa, uhuni, na hao ndio watapigia kura mtu asie na uwezo na kumuweka madarakani.
Trump atashindwa sio kwamba hana uwezo, lkn ni kwamba USA does no longer deserve a president like him.
Goodbye America, Welcome China.
Pia soma:
LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?