Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Following very closer.... Tuko Sako kwa Bako mpaka tumjue anayenyanyua kwapa.
 
Kamala sio mweusi, hana asili uouote na Africa.
kamala ana asili ya weusi. Baba yake ni mtu mweusi na mama yake ni muhindi. Huyo jamaa uliyemquote hajasema kamala ni mwafrika kasema ana asili ya weusi na ni kweli. Though kamala ni mtoto wa kishua.
 
230 kwa 179 Trump kisha shinda kabakiza 40 na yuko mbioni kupata 324
 
Lakini wamarekani Wanaona kuliko kuongozwa na Mwanamke Bora kichaa Trump
Ni kweli unajua tofauti na nchi kama German ambako mwana Mama Angela Markel aliiweza because top wake alikuwa mwanaume hivyo aliweza kubalance genda, ila kusema absolute power iwe kwa mwanamke aisee dunia naona kama bado haiamini hasa ukizingatia kipindi hiki ambacho kuna siasa zisizoeleweka, mfano issue ya Russia vs Ukraine, Iran vs Israel ambapo wanahifajika wanaume kukaa na kuamua. Uzuri wa Trump ni America kwanza kiuchumi kitu ambacho naona kipo poa kulilo hawa akina Biden wao wanawaza vita tu
 
Jnsia haimati kwao hata shoga anaeza kuongoza
 

Dakika mbili zilizopita

Trump anahitaji kura 40 tu atangazwe mshindi wa jumla kwenye huo Uchaguzi
 
Unataka kusema taifa la USA limetajwa kwenye bibilia yenu
 
raisi ananguvu gani ujerumani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…