Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
230 kwa 205 kidosi kina karibia lakini na uhakika Trump atashinda NC
Hivi nyie mnaangalia wapi,mbona North Caroline Trump alishashinda?
 

Attachments

  • Screenshot_20241106_074919_Opera Mini.jpg
    297 KB · Views: 2
Hapana mkuu!

Wakiona anashindwa mtu wao wanacheza na system Hadi kieleweke!

Awam ya pili ya obama ilibidi kura zihesabiwe manually Ili Obama ashinde kiti Kwa mara ya pili!!Mc Cain alim tight obama sana!
Naona Trump anashinda kirahisi safari hii.
 
Shida ni mwanamke halafu siyo mzungu.

Wameona bora tu chizi Trampu arudi.
 
Aliyeandika haya maneno kwa waefeso unamjua ninani na alikuwa anaongelea muktadha gani? Na Kamara akishinda utajiteteaje mkuu
 
Haya utarudi kwenye comment hapa. Huyo Mama ndo Rais ajaye sio kwamba namsifia ila kuna agenda nyuma yake.
Naelewa sn hiyo antichrist ajenda na beast spirit hata watt wa Mungu sio kwamba wamekaa tu ,wanaelewa pia,nao wanaomba Mungu!

Ndo nakwambia tena hashindi, km Mungu aishivyo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…