kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Hivi nyie mnaangalia wapi,mbona North Caroline Trump alishashinda?230 kwa 205 kidosi kina karibia lakini na uhakika Trump atashinda NC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nyie mnaangalia wapi,mbona North Caroline Trump alishashinda?230 kwa 205 kidosi kina karibia lakini na uhakika Trump atashinda NC
Naona Trump anashinda kirahisi safari hii.Hapana mkuu!
Wakiona anashindwa mtu wao wanacheza na system Hadi kieleweke!
Awam ya pili ya obama ilibidi kura zihesabiwe manually Ili Obama ashinde kiti Kwa mara ya pili!!Mc Cain alim tight obama sana!
Hata South kule North tayariNorth Carolina zipo kura 16. Trump anazichukua
Hakuna mambo magumu, Turampu keshashinda.Mambo Bado Magumu sana
Shida ni mwanamke halafu siyo mzungu.Nasemaje......
Pamoja na USA kutuletea mambo ya gender equality, lakini wao kamwe hawawezi kufanya upuuzi kwa kumpitisha mwanamke aitawale nchi yao aiseeee.
Hapo minajua Trump atashinda then watatengeneza zengwe kwamba Elon Mask ameingilia mfumo ili Trump ashinde
South zipo ngpHata South kule North tayari
Aliyeandika haya maneno kwa waefeso unamjua ninani na alikuwa anaongelea muktadha gani? Na Kamara akishinda utajiteteaje mkuuUSA, mwanamke atapambana kwa nguvu zote na atapata nafasi zote za kiuongozi, ila si nafasi ya Urais!
Nafasi hii kwa mwanamke, itapatikana kwenye nchi zingine zozote duniani, ila siyo USA
Hiyo ni siri na makubaliano yatokanayo na Biblia ndani ya Taifa hilo yaliyoasisiwa na waasisi wa taifa hilo karine nyingi zilizopita
Hata hivyo, nyakati na majira hubadirika, lolote linaweza kutokea kwa sababu ya nyakati!
Waefeso 5:23
Neno: Bibilia Takatifu
Kwa maana mume ni kichwa cha mke kama vile Kristo alivyo kichwa cha kanisa, ambalo ni mwili wake, naye mwenyewe ni Mwokozi wa kanisa.
9 ECSouth zipo ngp
Issue ya uzungu haina tija, labda uanamke wake. Kumbuka Hillary ni mzungu na alipigwa chini.Shida ni mwanamke halafu siyo mzungu.
Wameona bora tu chizi Trampu arudi.
Kwa hyo uhakika 255 tayar..ngime zip nyingne za uhakika za kujqziq9 EC
Marekani.Kashinda wapi?
Naelewa sn hiyo antichrist ajenda na beast spirit hata watt wa Mungu sio kwamba wamekaa tu ,wanaelewa pia,nao wanaomba Mungu!Haya utarudi kwenye comment hapa. Huyo Mama ndo Rais ajaye sio kwamba namsifia ila kuna agenda nyuma yake.
Duh zishafika huku ,niliona ilikuwa 230Kwa hyo uhakika 255 tayar..ngime zip nyingne za uhakika za kujqziq
Itakuwa ni uanamke basi, au labda ni uzanzibari?Issue ya uzungu haina tija, labda uanamke wake. Kumbuka Hillary ni mzungu na alipigwa chini.
Maneno ya mkosajiSema kondoo mnamuhitaji awachunge.
Dunia haina uhitaji wa yeyote si Trumpo si mwengine yeyote. Tunae Muumba wetu, anatosha kabisa tena na zaidi.
Hawatamuweza ,km walivyomshindwa🤣Tutamuulia madarakani safari hii hatupigi skio ni risasi ya komwe