Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
230 kwa 205 kidosi kina karibia lakini na uhakika Trump atashinda NC
Hivi nyie mnaangalia wapi,mbona North Caroline Trump alishashinda?
 

Attachments

  • Screenshot_20241106_074919_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20241106_074919_Opera Mini.jpg
    297 KB · Views: 2
Hapana mkuu!

Wakiona anashindwa mtu wao wanacheza na system Hadi kieleweke!

Awam ya pili ya obama ilibidi kura zihesabiwe manually Ili Obama ashinde kiti Kwa mara ya pili!!Mc Cain alim tight obama sana!
Naona Trump anashinda kirahisi safari hii.
 
Nasemaje......
Pamoja na USA kutuletea mambo ya gender equality, lakini wao kamwe hawawezi kufanya upuuzi kwa kumpitisha mwanamke aitawale nchi yao aiseeee.

Hapo minajua Trump atashinda then watatengeneza zengwe kwamba Elon Mask ameingilia mfumo ili Trump ashinde
Shida ni mwanamke halafu siyo mzungu.

Wameona bora tu chizi Trampu arudi.
 
USA, mwanamke atapambana kwa nguvu zote na atapata nafasi zote za kiuongozi, ila si nafasi ya Urais!

Nafasi hii kwa mwanamke, itapatikana kwenye nchi zingine zozote duniani, ila siyo USA

Hiyo ni siri na makubaliano yatokanayo na Biblia ndani ya Taifa hilo yaliyoasisiwa na waasisi wa taifa hilo karine nyingi zilizopita

Hata hivyo, nyakati na majira hubadirika, lolote linaweza kutokea kwa sababu ya nyakati!

Waefeso 5:23​

Neno: Bibilia Takatifu​

Kwa maana mume ni kichwa cha mke kama vile Kristo alivyo kichwa cha kanisa, ambalo ni mwili wake, naye mwenyewe ni Mwokozi wa kanisa.​

Aliyeandika haya maneno kwa waefeso unamjua ninani na alikuwa anaongelea muktadha gani? Na Kamara akishinda utajiteteaje mkuu
 
Haya utarudi kwenye comment hapa. Huyo Mama ndo Rais ajaye sio kwamba namsifia ila kuna agenda nyuma yake.
Naelewa sn hiyo antichrist ajenda na beast spirit hata watt wa Mungu sio kwamba wamekaa tu ,wanaelewa pia,nao wanaomba Mungu!

Ndo nakwambia tena hashindi, km Mungu aishivyo !
 
Back
Top Bottom