Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Dah!...Wale Waarabu, waislamu na Wapalestina wa Michigan wameamua kuiadhibu Democrat ila sidhani kama Trump atakuwa nafuu kwa Wapalestina.
 
Mwache apite trumpo, atunyoshe waafrika
 
China anataka Kamala ashinde, Russia anataka Trump ashinde...

Raia wote wa bara la Africa wenye akili timanu tunataka Trump ashinde..
Ndio maana tunambiwa siasa ni mchezo wa kijinga,Trump na republican wanaona China ni threat kubwa kwa USA kuliko Russia hasa kibiashara huku democratic wenyewe huwa wana deal sana na Russia kuliko China.sehemu pekee ambapo huwa wapo pamoja ni kwa kuilinda Israel.

By the way hawa wazungu wa USA wanacheza na akili za watu,kwa vyovyote vile wenyewewe lengo ni kupambania Taifa Lao,angalia alivyoingia democratic wamedidimiza uchumi wa UE na kuwafanya wawe wategemezi kwa USA hapo wamejipanga aingie Trump tena awapunguze kasi ya ukuaji wa uchumi wa China -lengo Lao moja tu waendelee kuwa superior Wamerekeni ni washenzi sana.
 
safi sana trump mazee dah , tuko vizurii...wabeba boksi wanarudishwa nchini kwa wingiii...
 
Unajulikana na akili yako unafikiri Trump atakuwa upande wa kobazi, subiri maumivu zaidi

Umeandika kwa uchungu sana ndugu. Bila shaka kwa kudhani Yesu alivaa raizoni.

Hata hivyo wapi uliposoma nikiandika kuhusu dini au hata kushabikia viatu?

Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

Bila shaka utatambua huyu bible vita zimemgharimu na akwendree akamalizie hizo vita nyumbani kwake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…