Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 525
- 876
210 -247
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kishashinda swing state ya Georgia yenye vote 16, sasa anahitaji vote 24 tu toka majimbo 2 tu ashinde kiti na mambo yanamuendea vizuri hadi sasaWasiyempenda kaja, minne tena kwa Trump
Kapigwa home and away yàani popular votes na electoral votes
Trump anachukua nchiTuzidi kuwaombea
Ahsanteni sana 🐼
210 -247
Bora chuma kirudi huenda dunia ikapunguza misukosuko ya kisiasa.Kishashinda swing state ya Georgia yenye vote 16, sasa anahitaji vote 24 tu toka majimbo 2 tu ashinde kiti na mambo yanamuendea vizuri hadi sasa
23 to electral votes to winLive Updates ya majibu ya kura kati ya Trump na Kamala
November 5, 2024 mtanange utapigwa ndani ya USA, hadi sasa dalili zote zinaonyesha itakuwa kati ya Donald Trump (Huyu ashapitishwa na chama chake) na Kamala Harris (Huyu bado hajapitishwa na chama chake)
Binafsi japo nipo Tanzania ila nnahisi mipango yangu ya kuanzisha biashara ndani ya ardhi ya USA inaweza athiriwa endapo kutakuwa na policy changes ikitokea Trump ameshinda.
Hivyo ntaendelea fuatilia kwa karibu mtanange huu hadi mshindi ametangazwa. Ungana nami hapa tupate kujuzana zaidi kuhusu uchaguzi huu.
Pia unaweza piga kura hapo nani unahisi atashinda kwenye uchaguzi huu.
Safi sana pale anapokuwa na mamlaka akayachezea akiwajibishwa.
Bado mmoja!
Huyo Kamala sio mweusi ni MuhindiUSA haiwezi kuchagua Rais Mwanamke tena mweusi.
Hiyo haiwezekani.
Kuwaombea kwa nani sasaTuzidi kuwaombea
Ahsanteni sana 🐼
Hii nilishaiona toka mwanzo kwamba lazima Trump atashinda.Tuzidi kuwaombea
Ahsanteni sana 🐼
Hiyo ni faida kwa Russia au ni kwa Ukraine?Unafuu anaoutaka ni Trump kumshinikiza Zelensky kuzungumza nae kumaliza vita.
Mmoja yupi Mkûu?
Ana maanisha Kamala Harris wa huku kwetu!Mmoja yupi Mkûu?