Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Vyombo vya usalama US wawaachie waingereza tu, ndio wenye uwezo wa kuamua nani ashinde.
 
Kishashinda swing state ya Georgia yenye vote 16, sasa anahitaji vote 24 tu toka majimbo 2 tu ashinde kiti na mambo yanamuendea vizuri hadi sasa
Bora chuma kirudi huenda dunia ikapunguza misukosuko ya kisiasa.


194 Kamala -246 Chuma
 
Live Updates ya majibu ya kura kati ya Trump na Kamala


November 5, 2024 mtanange utapigwa ndani ya USA, hadi sasa dalili zote zinaonyesha itakuwa kati ya Donald Trump (Huyu ashapitishwa na chama chake) na Kamala Harris (Huyu bado hajapitishwa na chama chake)

Binafsi japo nipo Tanzania ila nnahisi mipango yangu ya kuanzisha biashara ndani ya ardhi ya USA inaweza athiriwa endapo kutakuwa na policy changes ikitokea Trump ameshinda.

Hivyo ntaendelea fuatilia kwa karibu mtanange huu hadi mshindi ametangazwa. Ungana nami hapa tupate kujuzana zaidi kuhusu uchaguzi huu.

Pia unaweza piga kura hapo nani unahisi atashinda kwenye uchaguzi huu.
23 to electral votes to win
 

Attachments

  • IMG_0847.png
    IMG_0847.png
    1 MB · Views: 2
Back
Top Bottom