Day 1 gongs
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 392
- 758
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harudishi bila sbb muache kumuonea🤣hongera mwamba trump mazeee uko vizurii...wabeba boksi warudishwe warudi tu tz chap walime mpunga wa mamaa
Unamaanisha kondoo wanaojitoa muhanga kumtetea allah kwa ahadi ya masuria 72 na mito ya pombe?Sema kondoo mnamuhitaji awachunge.
Dunia haina uhitaji wa yeyote si Trumpo si mwengine yeyote. Tunae Muumba wetu, anatosha kabisa tena na zaidi.
Kidosi kipo 209 kwa 230 lakini tayari Trump kisha shinda nilivyo hesabu mimi karibu sehemu zote anaongoza zilizo bakiaKwa hyo uhakika 255 tayar..ngime zip nyingne za uhakika za kujqziq
Hizo data zako za wapi?
Tunapenda ku 'quote' vifungu bila kuelewa ,aisee Mungu atusaidie!Aliyeandika haya maneno kwa waefeso unamjua ninani na alikuwa anaongelea muktadha gani? Na Kamara akishinda utajiteteaje mkuu
Zimefikaaa????Trump tayari anazo 270 back to the white house
Kashinda kirahisi saaaaanaKashinda wapi?
OkayKidosi kipo 209 kwa 230 lakini tayari Trump kisha shinda nilivyo hesabu mimi karibu sehemu zote anaongoza zilizo bakia
Harris hatukutiii💪💪💪🎺🎺🎺Harris 209
Trump 230
Moto unawaka sasa
Bado wameweka kwenye 230 lakini kuna seemu mbili vote zime fika karibu 93% inabidi wampe Trump ushindi.Trump tayari anazo 270 back to the white house
Unawasikiliza hawa Wamarekani wa Iringa.Okay
Ngoja nione news
Kuna watu walibisha hapa
Hapana mkuu naingia na kutoka , ngoja nichek CNNUnawasikiliza hawa Wamarekani wa Iringa.
Zimebaki hapo hapo mpaka waende kwenye ngome yake..Hapana ngoja nichek CNN
Ila alikuwa na 230 last time I checked
Hicho kifungu ulichonukuu hakina uhusiano wowote na uchaguzi wa Marekani.USA, mwanamke atapambana kwa nguvu zote na atapata nafasi zote za kiuongozi, ila si nafasi ya Urais!
Nafasi hii kwa mwanamke, itapatikana kwenye nchi zingine zozote duniani, ila siyo USA
Hiyo ni siri na makubaliano yatokanayo na Biblia ndani ya Taifa hilo yaliyoasisiwa na waasisi wa taifa hilo karine nyingi zilizopita
Hata hivyo, nyakati na majira hubadirika, lolote linaweza kutokea kwa sababu ya nyakati!
Waefeso 5:23
Neno: Bibilia Takatifu
Kwa maana mume ni kichwa cha mke kama vile Kristo alivyo kichwa cha kanisa, ambalo ni mwili wake, naye mwenyewe ni Mwokozi wa kanisa.