Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Tuzidi kuwaombea

Ahsanteni sana 🐼
Mkuu kuna majimbo inajulikana wazi Trump na Kamala watashinda hilo halina ubishi. Ngoma ipo katika majimbo saba ambayo ndiyo yataamua mshindi. Habari nzuri ni kuwa moja ya majimbo hayo North Caroline tayari Trump ameshinda hilo jimbo Lima vote 111, kwa Trump bado anahitaji vote 40 katika majimbo sita takiyosalia. Tuendekee kumuombea Trump ili ashinde.

Nina imani Trump atashinda ingawa media kubwa zote hazimtaki, hata hapa nyumbani wachambuzi wengi wanaoitwa na chombo kimoja misimamo yao inajulikana hawantaki Trump akina Shakur na Rabi ukiwasikiliza utagundua hawampendi Trumo.
 
Wamarekani wanafki sana...
Yes yes naona
Kwa mambo ya kipuuzi nayoyaona Bora mwanaume ashinde tu!
Mi mwanamke lkn Bora tu mwanaume ashinde!
Harris hatukutiii💪💪💪🎺🎺🎺
1730870151732.png
 
Back
Top Bottom