Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tigo ni nyara ya serikali so wanashtakiwa na jamhuri ndio.Hivi wanashtakiwa na Jamhuri si ndio
Kwaiyo watifua mitaro wapo ktk hati hati ya kula 30 kavu aloo tusicheze na nyara za serikali kabisa.Tigo ni nyara ya serikali so wanashtakiwa na jamhuri ndio.
Mimi sijui kesi zinaendeshwaje lakini najiulizaga mtu kitendo kinaonekana kakifanya hapo anatetewa Nini 🤔 kwanza hata wewe wakili wa watuhumiwa unatetea uovu kisa pesa🥺Update (Agosti 21, 2024)
Mtaalamu wa Mawasiliano, Daktari Watoa Ushahidi Kesi ya Ubakaji wa Binti wa Yombo
Kesi inayowakabili watuhumiwa wanne wanaotuhumiwa kwa makosa ya ulawiti na ubakaji kwa binti ambaye ni mkazi wa Yombo Dar es salaam, imeendelea kusikilizwa leo Agosti 21,2024, ikiwa ni siku ya tatu toka kesi hiyo ianze kusikilizwa mfululizo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma.
Akizungumza baada ya kesi hiyo kuahirishwa mpaka kesho saa nne asubuhi Wakili wa watuhumiwa Godfrey Mwasonga amesema mwendendo wa kesi hiyo ni tofauti na namna inavyo ongelewa mtandaoni na kusisitiza kwamba ni hamsini kwa hamsini yaani yeyote anaweza kushindwa au kushinda.
Wakili Wasonga amesema shughuli ya leo ilikuwa ni kusikiliza mashahidi wawili.
"Leo tulikua tunamalizia ushahidi wa jana ambapo bwana Alfred alikua anaendelea kutoa ushahidi wake, yeye ni mtaalamu wa mambo ya uchunguzi wa kisayansi wa simu [mambo ya mtandao] kutoka makao makuu ya Polisi Dar es Salaam, amemalizia na Mawakili tumepata nafasi ya kumhoji kwa niaba ya washtakiwa," alieleza Godfrey Wasonga.
"Na tulikua na shahidi mwingine ambaye ni Daktari, anasema alimpima mgonjwa, yeye tumefanya naye mahojiano kuanzia saa tisa mpaka saa kumi," alifafanua zaidi Wasonga.
Kesi hiyo itaendelea kesho saa nne subuhi. Watuhumiwa waliofikishwa mahakamani ni wanne kati ya sita ambao ni Mt. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C. 1693 Praygod Edwin Mushi.
Update (Agosti 20, 2024)
Washitakiwa warejeshwa lumande
Washtakiwa wanne katika kesi ya ulawiti na ubakaji wa binti wa Yombo ambaye video yake ilisambaa mitandaoni akifanyiwa ukatili huo wakiwemo Askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Magereza, wamerudishwa rumande mara baada ya kesi yao kusikilizwa kwa mara ya pili hii leo Agosti 20.
Waliofikishwa mahakamani katika kesi hiyo ni askari wa JWTZ MT.140105 Clinton Damas, askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Lord Lema na Nickson Jackson.
Update
Shahidi mmoja asikilizwa
Wakili wa upande wa utetezi Meshack Ngamando, wa kesi ya ubakaji na ulawiti wa binti wa Yombo inayowakabili watu wanne wakiwemo Askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Magereza, amesema kwamba kesi hiyo imeendelea hii leo na imeanza kwa kusikilizwa kwa shahidi mmoja.
Wakili Ngamando amesema mashahidi kwa siku ya leo walikuwa watano lakini kutokana na muda ni shahidi mmoja pekee ndiye aliyewezwa kusikilizwa.
"Kesi inasikilizwa vizuri na hakuna shida yoyote, wananchi tuwe na utulivu tusikilize kesi nina imani kwamba haki itatendeka," amesema Wakili wa upande wa utetezi.
Update
Saa 6:33 PM (saa kumi na mbili na dk 33) - Mahakama ilisimama kwaajili ya watuhumiwa hao kupata chakula na kuendelea tena 7:30 PM (Saa moja na nusu usiku)
====
Watuhumiwa wanne wakiwamo askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Magereza wanaotuhumiwa kwa ubakaji kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti wa Yombo Dovya jijini Da es Salaam, wameingia chumba cha Mahakama.
Kesi hiyo iliyokuwa imepangwa kuanza saa 8:00 mchana wa leo Jumanne, Agosti 20, 2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, wameingia kwenye chumba cha Mahakama saa 10:20 jioni.
Watuhumiwa hao wanaodaiwa ‘kutumwa na afande’ ni askari wa JWTZ MT.140105 Clinton Damas, askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Lord Lema na Nickson Jackson.
Zaidi soma hapa: Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo
Awali, watuhumiwa hao waliingia kwenye chumba cha Mahakama saa 9 alasiri lakini walirudishwa tena ili wazungumze na mawakili wanaowatetea kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kesi.
Aidha waandishi wa habari wamezuiwa kuingia kwenye chumba cha Mahakama wakati kesi inaendelea wala kupiga picha watuhumiwa wakiwa kwenye korido za mahakamani huku wakiambiwa wasubiri watoke nje ndiyo wawapige picha.
Bado haijajulikana idadi ya mawakili wanaowatetea wala majina yao lakini wameshafika mahakamani kwa ajili ya kuwatetea watuhumiwa hao.
Jana Jumatatu, watuhumiwa hao walipandishwa kwa mara ya kwanza mahakamani hapo na kusomewa mashtaka mawili ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbili binti huyo.
Pia soma: Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani
Mkurugenzi Msaidizi kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, Makao Makuu, Renatus Mkude alisema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku nne mfululizo kuanza leo hadi Ijumaa, Agosti 23, 2024.
Hii kesi mbona ngumu. Hata jiwe halifati hapo.Mwakani ni uchguzi,,..si ndio ilitakiwa wale vijana na watu wote waliohusika kufikishwa mahakamani,...ccm pia ndio walitakiwa wajichukulie ujiko hapa kuwa mama anaupiga mwingi..yaan viongozi wa ccm watoe kauli moja tu ya kufurahisha watz ,...jambo likishakuwa limeteka hisia za watu wengi ndio walitakiwa na wenyewe ccm walale humohumo...au nakosea wakuu!
Kwakuwa walichofanya ni kitu sahihi na cha kupigiwa mfanoHawafungwi hao amini nawaambia
Hii ndio Tofauti ya Kesi za Kitaifa( Chadema) na Kesi zingine.Update (Agosti 21, 2024)
Mtaalamu wa Mawasiliano, Daktari Watoa Ushahidi Kesi ya Ubakaji wa Binti wa Yombo
Kesi inayowakabili watuhumiwa wanne wanaotuhumiwa kwa makosa ya ulawiti na ubakaji kwa binti ambaye ni mkazi wa Yombo Dar es salaam, imeendelea kusikilizwa leo Agosti 21,2024, ikiwa ni siku ya tatu toka kesi hiyo ianze kusikilizwa mfululizo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma.
Akizungumza baada ya kesi hiyo kuahirishwa mpaka kesho saa nne asubuhi Wakili wa watuhumiwa Godfrey Mwasonga amesema mwendendo wa kesi hiyo ni tofauti na namna inavyo ongelewa mtandaoni na kusisitiza kwamba ni hamsini kwa hamsini yaani yeyote anaweza kushindwa au kushinda.
Wakili Wasonga amesema shughuli ya leo ilikuwa ni kusikiliza mashahidi wawili.
"Leo tulikua tunamalizia ushahidi wa jana ambapo bwana Alfred alikua anaendelea kutoa ushahidi wake, yeye ni mtaalamu wa mambo ya uchunguzi wa kisayansi wa simu [mambo ya mtandao] kutoka makao makuu ya Polisi Dar es Salaam, amemalizia na Mawakili tumepata nafasi ya kumhoji kwa niaba ya washtakiwa," alieleza Godfrey Wasonga.
"Na tulikua na shahidi mwingine ambaye ni Daktari, anasema alimpima mgonjwa, yeye tumefanya naye mahojiano kuanzia saa tisa mpaka saa kumi," alifafanua zaidi Wasonga.
Kesi hiyo itaendelea kesho saa nne subuhi. Watuhumiwa waliofikishwa mahakamani ni wanne kati ya sita ambao ni Mt. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C. 1693 Praygod Edwin Mushi.
Update (Agosti 20, 2024)
Washitakiwa warejeshwa lumande
Washtakiwa wanne katika kesi ya ulawiti na ubakaji wa binti wa Yombo ambaye video yake ilisambaa mitandaoni akifanyiwa ukatili huo wakiwemo Askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Magereza, wamerudishwa rumande mara baada ya kesi yao kusikilizwa kwa mara ya pili hii leo Agosti 20.
Waliofikishwa mahakamani katika kesi hiyo ni askari wa JWTZ MT.140105 Clinton Damas, askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Lord Lema na Nickson Jackson.
Update
Shahidi mmoja asikilizwa
Wakili wa upande wa utetezi Meshack Ngamando, wa kesi ya ubakaji na ulawiti wa binti wa Yombo inayowakabili watu wanne wakiwemo Askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Magereza, amesema kwamba kesi hiyo imeendelea hii leo na imeanza kwa kusikilizwa kwa shahidi mmoja.
Wakili Ngamando amesema mashahidi kwa siku ya leo walikuwa watano lakini kutokana na muda ni shahidi mmoja pekee ndiye aliyewezwa kusikilizwa.
"Kesi inasikilizwa vizuri na hakuna shida yoyote, wananchi tuwe na utulivu tusikilize kesi nina imani kwamba haki itatendeka," amesema Wakili wa upande wa utetezi.
Update
Saa 6:33 PM (saa kumi na mbili na dk 33) - Mahakama ilisimama kwaajili ya watuhumiwa hao kupata chakula na kuendelea tena 7:30 PM (Saa moja na nusu usiku)
====
Watuhumiwa wanne wakiwamo askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Magereza wanaotuhumiwa kwa ubakaji kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti wa Yombo Dovya jijini Da es Salaam, wameingia chumba cha Mahakama.
Kesi hiyo iliyokuwa imepangwa kuanza saa 8:00 mchana wa leo Jumanne, Agosti 20, 2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, wameingia kwenye chumba cha Mahakama saa 10:20 jioni.
Watuhumiwa hao wanaodaiwa ‘kutumwa na afande’ ni askari wa JWTZ MT.140105 Clinton Damas, askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Lord Lema na Nickson Jackson.
Zaidi soma hapa: Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo
Awali, watuhumiwa hao waliingia kwenye chumba cha Mahakama saa 9 alasiri lakini walirudishwa tena ili wazungumze na mawakili wanaowatetea kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kesi.
Aidha waandishi wa habari wamezuiwa kuingia kwenye chumba cha Mahakama wakati kesi inaendelea wala kupiga picha watuhumiwa wakiwa kwenye korido za mahakamani huku wakiambiwa wasubiri watoke nje ndiyo wawapige picha.
Bado haijajulikana idadi ya mawakili wanaowatetea wala majina yao lakini wameshafika mahakamani kwa ajili ya kuwatetea watuhumiwa hao.
Jana Jumatatu, watuhumiwa hao walipandishwa kwa mara ya kwanza mahakamani hapo na kusomewa mashtaka mawili ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbili binti huyo.
Pia soma: Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani
Mkurugenzi Msaidizi kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, Makao Makuu, Renatus Mkude alisema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku nne mfululizo kuanza leo hadi Ijumaa, Agosti 23, 2024.
Wanashindaje yaniHamna kesi hapo..mwisho wa siku vijana hao watashinda hiyo kesi coz ina makosa mengi sana yaliyofanywa makusudi kabisa kwa lengo wanalolijua watawala.
Ndio hivyo yani,we sikilizia tu breaking news.Wanashindaje yani
Mkuu sio kwamba ni jambo zuri ila tatizo nikwamba polisi wenyewe wanasitasita sana mara binti ni kahaba tu mara wale vijana ni wahuni tu na blahblah kibao vuta picha ingekuwa kesi ya kuchanwa picha ya samiaKwakuwa walichofanya ni kitu sahihi na cha kupigiwa mfano
Huko ni mwendo wa YES SIR!Walifuata order
Upuuzi mtupu, kwa nini mwenendo wa kesi tupewe na wakili wa utetezi?Update (Agosti 21, 2024)
Mtaalamu wa Mawasiliano, Daktari Watoa Ushahidi Kesi ya Ubakaji wa Binti wa Yombo
Kesi inayowakabili watuhumiwa wanne wanaotuhumiwa kwa makosa ya ulawiti na ubakaji kwa binti ambaye ni mkazi wa Yombo Dar es salaam, imeendelea kusikilizwa leo Agosti 21,2024, ikiwa ni siku ya tatu toka kesi hiyo ianze kusikilizwa mfululizo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma.
Akizungumza baada ya kesi hiyo kuahirishwa mpaka kesho saa nne asubuhi Wakili wa watuhumiwa Godfrey Mwasonga amesema mwendendo wa kesi hiyo ni tofauti na namna inavyo ongelewa mtandaoni na kusisitiza kwamba ni hamsini kwa hamsini yaani yeyote anaweza kushindwa au kushinda.
Wakili Wasonga amesema shughuli ya leo ilikuwa ni kusikiliza mashahidi wawili.
"Leo tulikua tunamalizia ushahidi wa jana ambapo bwana Alfred alikua anaendelea kutoa ushahidi wake, yeye ni mtaalamu wa mambo ya uchunguzi wa kisayansi wa simu [mambo ya mtandao] kutoka makao makuu ya Polisi Dar es Salaam, amemalizia na Mawakili tumepata nafasi ya kumhoji kwa niaba ya washtakiwa," alieleza Godfrey Wasonga.
"Na tulikua na shahidi mwingine ambaye ni Daktari, anasema alimpima mgonjwa, yeye tumefanya naye mahojiano kuanzia saa tisa mpaka saa kumi," alifafanua zaidi Wasonga.
Kesi hiyo itaendelea kesho saa nne subuhi. Watuhumiwa waliofikishwa mahakamani ni wanne kati ya sita ambao ni Mt. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C. 1693 Praygod Edwin Mushi.
Update (Agosti 20, 2024)
Washitakiwa warejeshwa lumande
Washtakiwa wanne katika kesi ya ulawiti na ubakaji wa binti wa Yombo ambaye video yake ilisambaa mitandaoni akifanyiwa ukatili huo wakiwemo Askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Magereza, wamerudishwa rumande mara baada ya kesi yao kusikilizwa kwa mara ya pili hii leo Agosti 20.
Waliofikishwa mahakamani katika kesi hiyo ni askari wa JWTZ MT.140105 Clinton Damas, askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Lord Lema na Nickson Jackson.
Update
Shahidi mmoja asikilizwa
Wakili wa upande wa utetezi Meshack Ngamando, wa kesi ya ubakaji na ulawiti wa binti wa Yombo inayowakabili watu wanne wakiwemo Askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Magereza, amesema kwamba kesi hiyo imeendelea hii leo na imeanza kwa kusikilizwa kwa shahidi mmoja.
Wakili Ngamando amesema mashahidi kwa siku ya leo walikuwa watano lakini kutokana na muda ni shahidi mmoja pekee ndiye aliyewezwa kusikilizwa.
"Kesi inasikilizwa vizuri na hakuna shida yoyote, wananchi tuwe na utulivu tusikilize kesi nina imani kwamba haki itatendeka," amesema Wakili wa upande wa utetezi.
Update
Saa 6:33 PM (saa kumi na mbili na dk 33) - Mahakama ilisimama kwaajili ya watuhumiwa hao kupata chakula na kuendelea tena 7:30 PM (Saa moja na nusu usiku)
====
Watuhumiwa wanne wakiwamo askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Magereza wanaotuhumiwa kwa ubakaji kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti wa Yombo Dovya jijini Da es Salaam, wameingia chumba cha Mahakama.
Kesi hiyo iliyokuwa imepangwa kuanza saa 8:00 mchana wa leo Jumanne, Agosti 20, 2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, wameingia kwenye chumba cha Mahakama saa 10:20 jioni.
Watuhumiwa hao wanaodaiwa ‘kutumwa na afande’ ni askari wa JWTZ MT.140105 Clinton Damas, askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Lord Lema na Nickson Jackson.
Zaidi soma hapa: Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo
Awali, watuhumiwa hao waliingia kwenye chumba cha Mahakama saa 9 alasiri lakini walirudishwa tena ili wazungumze na mawakili wanaowatetea kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kesi.
Aidha waandishi wa habari wamezuiwa kuingia kwenye chumba cha Mahakama wakati kesi inaendelea wala kupiga picha watuhumiwa wakiwa kwenye korido za mahakamani huku wakiambiwa wasubiri watoke nje ndiyo wawapige picha.
Bado haijajulikana idadi ya mawakili wanaowatetea wala majina yao lakini wameshafika mahakamani kwa ajili ya kuwatetea watuhumiwa hao.
Jana Jumatatu, watuhumiwa hao walipandishwa kwa mara ya kwanza mahakamani hapo na kusomewa mashtaka mawili ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbili binti huyo.
Pia soma: Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani
Mkurugenzi Msaidizi kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, Makao Makuu, Renatus Mkude alisema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku nne mfululizo kuanza leo hadi Ijumaa, Agosti 23, 2024.
Wanaliwa kichwa mapema tu, bado hujui vizuri case zenye public interest.Hawa watuhumiwa wakifungwa nikatwe kichwa;
Na gang rapers wazoefu wanakwambia hupenda kufanya mwisho ili eti asipigwe begani kuharakishwa kupisha wengine!"Oya masela nikija zamu yangu mimi mavi tu" jamaa mkatili sana