Yanayojiri kesi ya "Binti wa Yombo": Daktari aliyempima Binti aliyebakwa na Maafisa wa Jeshi atoa ushahidi Mahakamani

Mwakani ni uchguzi,,..si ndio ilitakiwa wale vijana na watu wote waliohusika kufikishwa mahakamani,...ccm pia ndio walitakiwa wajichukulie ujiko hapa kuwa mama anaupiga mwingi..yaan viongozi wa ccm watoe kauli moja tu ya kufurahisha watz ,...jambo likishakuwa limeteka hisia za watu wengi ndio walitakiwa na wenyewe ccm walale humohumo...au nakosea wakuu!
 
Mimi sijui kesi zinaendeshwaje lakini najiulizaga mtu kitendo kinaonekana kakifanya hapo anatetewa Nini 🤔 kwanza hata wewe wakili wa watuhumiwa unatetea uovu kisa pesa🥺
 
Hii kesi mbona ngumu. Hata jiwe halifati hapo.
Yani hata khofu ya Mungu 🙏 kweli Tumekosa?
 
Hii ndio Tofauti ya Kesi za Kitaifa( Chadema) na Kesi zingine.

Kesi za Chadema huwa tunapata Real Time Live Updates.......Papo kwa papo kutoka Viunga vya Mahakamani.

Yaani watu wa mahakama wakicheka na sisi tunacheka muda huo huo.
 
Hamna kesi hapo..mwisho wa siku vijana hao watashinda hiyo kesi coz ina makosa mengi sana yaliyofanywa makusudi kabisa kwa lengo wanalolijua watawala.
 
Kwakuwa walichofanya ni kitu sahihi na cha kupigiwa mfano
Mkuu sio kwamba ni jambo zuri ila tatizo nikwamba polisi wenyewe wanasitasita sana mara binti ni kahaba tu mara wale vijana ni wahuni tu na blahblah kibao vuta picha ingekuwa kesi ya kuchanwa picha ya samia
 
Upuuzi mtupu, kwa nini mwenendo wa kesi tupewe na wakili wa utetezi?

Maxence Melo ondoa hizi takataka kama JF hairuhusiwi kupeleka reporter Roving Journalist hii thread ni takataka tu hakuna la maana zaidi ya maoni ya wakili wa Wabakaji na Wafiraji.

Eti hii case ni 50 kwa 50 shwaini kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…