Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Njombe na Mbeya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Leo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili .

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika

========
UPDATES
Njombe Mjini
=========
UPDATES 2
Lissu aingia Mbarali

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Leo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili .

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika

View attachment 1570337

========
Mbona anarudia Mbeya na Njombe kila siku?Wiki moja na nusu hivi aliwakusanya kwa malori watu wa Njombe ,Mbeya,Songwe.Wakawatambulisha mpaka wabunge.Leoanarudi huko huko.He ,maeneo ya Ruvuma hayaoni?Maeneo ya Kigoma hayaoni?Ameishiwa pumzi huyu.
 
Relaxy dawa ikuingie vizuri..kwani kampeni zime isha ni swala la mda tu tuna fika uko
 
Jamaa aliyeishi wa pumzi ni yule anayesema jogoo hoyii.

Hapo juzi kati alizindua kwa mara ya pili mkataba wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Uganda.

Anapumulia mashine,anaweza kukata moto wakati wowote
 
Relaxy dawa ikuingie vizuri..kwani kampeni zime isha ni swala la mda tu tuna fika uko
Ndugu time management and resources ni muhimu.Asubiri atapewa ka kazi kadogo kadogo.Hana uwezo wa kushinda urais huyo.
 
Mbona anarudia Mbeya na Njombe kila siku?Wiki moja na nusu hivi aliwakusanya kwa malori watu wa Njombe ,Mbeya,Songwe.Wakawatambulisha mpaka wabunge.Leoanarudi huko huko.He ,maeneo ya Ruvuma hayaoni?Maeneo ya Kigoma hayaoni?Ameishiwa pumzi huyu.
Kuna mmoja mpaka aliomba mapumziko, je kaisharudi kwenye kampeni au?
 
Mbona anarudia Mbeya na Njombe kila siku?Wiki moja na nusu hivi aliwakusanya kwa malori watu wa Njombe ,Mbeya,Songwe.Wakawatambulisha mpaka wabunge.Leoanarudi huko huko.He ,maeneo ya Ruvuma hayaoni?Maeneo ya Kigoma hayaoni?Ameishiwa pumzi huyu.
Ilikuwa kikanda saizi anachanja mbuga wilaya kwa wilaya
 
Ndugu time management and resources ni muhimu.Asubiri atapewa ka kazi kadogo kadogo.Hana uwezo wa kushinda urais huyo.
Nimecheka sana aisee, eti jamaa kazindua bomba kwa mara ya pili mpaka m7 akasema najua Jiwe anatafuta kura tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona anarudia Mbeya na Njombe kila siku?Wiki moja na nusu hivi aliwakusanya kwa malori watu wa Njombe ,Mbeya,Songwe.Wakawatambulisha mpaka wabunge.Leoanarudi huko huko.He ,maeneo ya Ruvuma hayaoni?Maeneo ya Kigoma hayaoni?Ameishiwa pumzi huyu.
Unahitaji nguvu kubwa kuelimishwa
Mana hujui kwanini mgombea amekuja mara ya pili
 
Leo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili .

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika

View attachment 1570337

========
Kumbe siku hizi ni mtarajiwa?? Maana hapo awali nilisikia ni Rais tayari, nashukuru umenielewesha
 
Leo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili .

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika

View attachment 1570337

========
LISU HIZI SASA NI SIFA.
WALE WALIOSEMA UZIKWE NDANI YA SIKU 3 WANAJISIKIAJE?

cc JOB wa NDUGAI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…