Sure..... Ila orodha ni ndefuHiyo mikoa siyo mikoa ya kuwabeba watu kwa malori au wa kuwapa kilo ya sukari ili upate kun Katazame mpangilio wa mikoa ya Tanzania katika pato la wananchi:
1) Dar
2) Kilimanjaro
3) Njombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii elfu7 inayolipwa kwa hiki kichwa inapotea bure, johnthebaptist mwambie Bashiru vijana aliowatuma kujibu hoja wana mtindio wa ubongo, hawawezi kuumiza vichwa vyao.Hizi picha za kutengeza ndio huwa zinafanya mgombea wetu asiamini matokeo ya mwisho. Tuweke picha za ukweli kwa maufaa ya chama chetu. Sio kuonyesha mafuriko alafu tunapata kura mil 1.
Shetani kakutawala mpaka watia huruma. Wajua nawe u salama kiasi gani?[emoji848]View attachment 1570531
Pole ingizo jipya, umetoroka Muleba?Hizi picha za kutengeza ndio huwa zinafanya mgombea wetu asiamini matokeo ya mwisho. Tuweke picha za ukweli kwa maufaa ya chama chetu. Sio kuonyesha mafuriko alafu tunapata kura mil 1.
Makamanda wenzangu tukubali ukweli. Sasa hizo picha za kutengeneza zitatusaidia nini?Pole ingizo jipya, umetoroka Muleba?
😆😆😆Huyu jana Njombe wamemkataa.
Hivi ile Dream liner ina mafuta ya kutosha kufika ujerumani?Leo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili .
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika
View attachment 1570337
========
UPDATES
Njombe MjiniView attachment 1570470View attachment 1570471View attachment 1570473View attachment 1570472
=========
UPDATES 2
Lissu aingia Mbarali
View attachment 1570647View attachment 1570648
Niko salama %100 sababu mimi sio msukule wa kibaraka wa mabeberu (yuda iskariote lisu)[emoji16]Shetani kakutawala mpaka watia huruma. Wajua nawe u salama kiasi gani?
Hapa ni habari na picha, wacha kuleta kichaa chako wakati ushahidi wa picha unauona hapo.Huyu jana Njombe wamemkataa.
Nyau zile sasa hivi zinapumulia mashine baada ya kuona chuma cha pua kimetua tzZile nyau zilizokua zinasema upinzani umekufa rasmi mbona hazisemi tena
Za halisi hizi hapaHizi picha za kutengeza ndio huwa zinafanya mgombea wetu asiamini matokeo ya mwisho. Tuweke picha za ukweli kwa maufaa ya chama chetu. Sio kuonyesha mafuriko alafu tunapata kura mil 1.
Kwani mh Lissu yuko wapi? Au unadhani yupo ikungi anavuta pumzi? Jembe lipo kikazi huko nyanda za juuMbona anarudia Mbeya na Njombe kila siku?Wiki moja na nusu hivi aliwakusanya kwa malori watu wa Njombe ,Mbeya,Songwe.Wakawatambulisha mpaka wabunge.Leoanarudi huko huko.He ,maeneo ya Ruvuma hayaoni?Maeneo ya Kigoma hayaoni?Ameishiwa pumzi huyu.
Chama Tawala CCM nawasihi sana aagizeni vyombo vya habari virushe kampeni za wapinzani ili na wagombea wa CCM wazichukue hizo hoja na kuzitolea ufafanuzi.Leo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili .
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika
View attachment 1570337
========
UPDATES
Njombe MjiniView attachment 1570470View attachment 1570471View attachment 1570473View attachment 1570472
=========
UPDATES 2
Lissu aingia Mbarali
View attachment 1570647View attachment 1570648
Yuko Lujewa mjini anampiga meko spanaKwani mh Lissu yuko wapi? Au unadhani yupo ikungi anavuta pumzi? Jembe lipo kikazi huko nyanda za juu
Meco sasa hivi ameanza kuijua nguvu ya wapinzani maana tayari ashaanza kulia lia kwa ndugu zake.Yuko Lujewa mjini anampiga meko spana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikuwa anadanganywa kuwa upinzani umekufa kumbe watu tuliuchuna tu tukawa tunajijenga chini kwa chini bila wao kujua ...mara paaa tumeibuka [emoji23][emoji23][emoji23]Meco sasa hivi ameanza kuijua nguvu ya wapinzani maana tayari ashaanza kulia lia kwa ndugu zake.
Meco sasa hivi yupo hoooiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikuwa anadanganywa kuwa upinzani umekufa kumbe watu tuliuchuna tu tukawa tunajijenga chini kwa chini bila wao kujua ...mara paaa tumeibuka [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhaaa my ribsZa halisi hizi hapa
View attachment 1570661