Yanayojiri kwenye Mgogoro kati ya India na Pakistan. Chanzo, Madhara na nini hatma yake?

Yanayojiri kwenye Mgogoro kati ya India na Pakistan. Chanzo, Madhara na nini hatma yake?

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Juzi tulishuhudia India ikitembeza kichapo ndani ya Pakistan ambapo Pakistan waliapa kulipiza, Sasa leo wametuma makombora kuelekea India.

Chanzo cha hii yote ni kwamba Pakistan wamekua wakilea magaidi wanaoitwa Lashkar-e-Taiba.

Hao magaidi husababisha mashambulizi ndani ya India wakiwa na Nia ya kuhamisha Jimbo la Kashmir kutoka India na kumilikiwa na Pakistan.

Juzi hao magaidi waliiua Wahindi 22 humo jimboni.

India ikaapa kulipiza na ikafanya kweli kwa kupiga maeneo yao ndani ya Pakistan.
________

Pakistan said it launched a military operation against India early on Saturday, targeting multiple bases including a missile storage site in northern India as the neighbors extended their worst fighting in nearly three decades.

Pakistan's offensive came shortly after it said India had fired missiles at three air bases earlier on Saturday including one close to the capital, Islamabad, but Pakistani air defenses intercepted most of them.

Locked in a longstanding dispute over Kashmir, the two countries have engaged in daily clashes since Wednesday when India launched strikes inside Pakistan on what it called militant bases. Pakistan vowed to retaliate.
 
Kwa hiyo magaidi wanataka kila mtu awe na sigida usoni? Ukiwa huna unauliwa!!!!!!! Hivi inawezekana kweli dunia nzima tuwe tunavaa misuli na makobazi na vibarakashee!!!!!!???? Si hata warabu wenyewe watatushangaa. Yaaaaniiiii dunia nzima tuwe tunasombana kuelekea Saudia kumpiga mawe shetani!!!!!!????
 
Hizi taarifa zilizo jaa chuki dhidi ya uislamu mods wanazifurahia saana

Hamna chuki dhidi ya uislamu, ila ni nyie hamtaki kuishi na binadamu wengine kwa amani, sasa kule kwa Wahindi mumefuata nini, mbona msibaki na chokochoko zenu Mashariki ya kati, mumeharibu hata Afrika na kote... Uzuri Mchina kwake alishawaweka pini, amewakanyaga shingoni....

Muslims living with Hindus = Problem.
Muslims living with Buddhists = Problem.
Muslims living with Christians = Problem.
Muslims living with Jews = Problem.
Muslims living with Sikhs = Problem
Muslims living with Baha’is = Problem.
Muslims living with Shintos = Problem.
Muslims living with Atheists = Problem.
Muslims living with Muslims = Big Problem.

This led to:

They’re not happy in Gaza.
They’re not happy in Egypt.
They’re not happy in Libya.
They’re not happy in Morocco.
They’re not happy in Iran.
They’re not happy in Iraq.
They’re not happy in Yemen.
They’re not happy in Afghanistan.
They’re not happy in Pakistan.
They’re not happy in Syria.
They’re not happy in Lebanon.
They’re not happy in Nigeria.
They’re not happy in Kenya.
They’re not happy in Sudan.

Where are they happy?
They’re happy in Australia.
They’re happy in England.
They’re happy in Belgium.
They’re happy in France.
They’re happy in Italy.
They’re happy in Germany.
They’re happy in Sweden.
They’re happy in the USA and Canada.
They’re happy in Norway and India.
They’re happy in almost every country that is not Islamic.
Whom do they blame? Not Islam. Not their leadership. Not themselves.

They blame the countries they are happy in.
They want to change the countries they’re happy in, to be like the countries they came from where they were unhappy.
 
Hamna chuki dhidi ya uislamu, ila ni nyie hamtaki kuishi na binadamu wengine kwa amani, sasa kule kwa Wahindi mumefuata nini, mbona msibaki na chokochoko zenu Mashariki ya kati, mumeharibu hata Afrika na kote... Uzuri Mchina kwake alishawaweka pini, amewakanyaga shingoni....

Muslims living with Hindus = Problem.
Muslims living with Buddhists = Problem.
Muslims living with Christians = Problem.
Muslims living with Jews = Problem.
Muslims living with Sikhs = Problem
Muslims living with Baha’is = Problem.
Muslims living with Shintos = Problem.
Muslims living with Atheists = Problem.
Muslims living with Muslims = Big Problem.

This led to:

They’re not happy in Gaza.
They’re not happy in Egypt.
They’re not happy in Libya.
They’re not happy in Morocco.
They’re not happy in Iran.
They’re not happy in Iraq.
They’re not happy in Yemen.
They’re not happy in Afghanistan.
They’re not happy in Pakistan.
They’re not happy in Syria.
They’re not happy in Lebanon.
They’re not happy in Nigeria.
They’re not happy in Kenya.
They’re not happy in Sudan.

Where are they happy?
They’re happy in Australia.
They’re happy in England.
They’re happy in Belgium.
They’re happy in France.
They’re happy in Italy.
They’re happy in Germany.
They’re happy in Sweden.
They’re happy in the USA and Canada.
They’re happy in Norway and India.
They’re happy in almost every country that is not Islamic.
Whom do they blame? Not Islam. Not their leadership. Not themselves.

They blame the countries they are happy in.
They want to change the countries they’re happy in, to be like the countries they came from where they were unhappy.
Si unaona hata tanzania tangu aingie muislam madarakani watu wanauliwa hovyo hovyo tu yaani uislam ni ushetani kamili
 
Sio chuki waislamu ni wapumbavu sana wana akili ndogo sana
Wewe mwenye akili kubwa una msaada gani kwenye hili taifa,ikiwa sehemu kubwa ya uchumi umeshikwa na hao unaodai wana akili ndogo saana
 
Hivi hawa watapigana hata wiki kweli?

Naona vita yao sio serious sana.
 
Mbona kipindi cha JPM watu walikuwa wakiuliwa!!
Kwa sasa hali imekithiri imekuwa mbaya zaidi na bila kificho wala aibu, na ndio maana tunaamini yawezekana wakati wa magufuli muuaji alikuwa makamu wake.
 
Mostly of Pakistan missile have been intercepted and 3 jets were shut down (don't trust Chinese products).

Pakistan PM ameitisha kikao kuhusu matumizi ya Nuklia (hapa tayari washaona maji yame wafika shingoni)
Mapema tu maji yamezidi unga.
 
Back
Top Bottom