Yanayojiri kwenye Mgogoro kati ya India na Pakistan. Chanzo, Madhara na nini hatma yake?

Yanayojiri kwenye Mgogoro kati ya India na Pakistan. Chanzo, Madhara na nini hatma yake?

Kwa hiyo magaidi wanataka kila mtu awe na sigida usoni? Ukiwa huna unauliwa!!!!!!! Hivi inawezekana kweli dunia nzima tuwe tunavaa misuli na makobazi na vibarakashee!!!!!!???? Si hata warabu wenyewe watatushangaa. Yaaaaniiiii dunia nzima tuwe tunasombana kuelekea Saudia kumpiga mawe shetani!!!!
Mbona ulichokiandika ni utumbo ulooza!!! Kuna uhusiano gani ya unachosema na kinachotokea!!! Balehe isikuendeahe vibaya mpwa, jitahidi kutumia akili za kichwani kuliko hizo zilizopo maeneo mengine.
 
Mostly of Pakistan missile have been intercepted and 3 jets were shut down (don't trust Chinese products).

Pakistan PM ameitisha kikao kuhusu matumizi ya Nuklia (hapa tayari washaona maji yame wafika shingoni)
source
 
Juzi tulishuhudia India ikitembeza kichapo ndani ya Pakistan ambapo Pakistan waliapa kulipiza, Sasa leo wametuma makombora kuelekea India.

Chanzo cha hii yote ni kwamba Pakistan wamekua wakilea magaidi wanaoitwa Lashkar-e-Taiba.

Hao magaidi husababisha mashambulizi ndani ya India wakiwa na Nia ya kuhamisha Jimbo la Kashmir kutoka India na kumilikiwa na Pakistan.

Juzi hao magaidi waliiua Wahindi 22 humo jimboni.

India ikaapa kulipiza na ikafanya kweli kwa kupiga maeneo yao ndani ya Pakistan.
________

Pakistan said it launched a military operation against India early on Saturday, targeting multiple bases including a missile storage site in northern India as the neighbors extended their worst fighting in nearly three decades.

Pakistan's offensive came shortly after it said India had fired missiles at three air bases earlier on Saturday including one close to the capital, Islamabad, but Pakistani air defenses intercepted most of them.

Locked in a longstanding dispute over Kashmir, the two countries have engaged in daily clashes since Wednesday when India launched strikes inside Pakistan on what it called militant bases. Pakistan vowed to retaliate.
Hii escalation inazidi kuongezeka....

ajabu wale magaidi waliosababisha haya yote hawajakamatwa mpaka sasa.

T14 Armata
 
Mostly of Pakistan missile have been intercepted and 3 jets were shut down (don't trust Chinese products).

Pakistan PM ameitisha kikao kuhusu matumizi ya Nuklia (hapa tayari washaona maji yame wafika shingoni)
🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo magaidi wanataka kila mtu awe na sigida usoni? Ukiwa huna unauliwa!!!!!!! Hivi inawezekana kweli dunia nzima tuwe tunavaa misuli na makobazi na vibarakashee!!!!!!???? Si hata warabu wenyewe watatushangaa. Yaaaaniiiii dunia nzima tuwe tunasombana kuelekea Saudia kumpiga mawe shetani!!!!!!????
Kuna baadhi ya dini ukiziangalia unaona kabisa zilitengenezwa na watu yaani ni upuuzi mtupu kabisa.
 
Wavaa kobazi wajinga sana
Yesu na wafuasi wake walivaa Kobazi vipi wao ni wajinga ?

Inasikitisha sana uongozi wa Jf kukupa U platinum mtu mjinga kama wewe ... You're a pathetic Scumbag
 
Sio chuki waislamu ni wapumbavu sana wana akili ndogo sana
Ireland ya kaskazini,wakatoliki na waprotestant.
Wanauana.
2. Kongo wakristo wanauana.
3.Uganda kaskazini wakristo wanauana
4.Haiti wakristo wanauana
5.Urusi na Ukrzine wakristo wanauana.
6.Burundi ,wakristo wanauana
7.Rwanda,wq
Ktisto wanauana
 
hatima ya brics ni vipi aisee?
India ni mwanachama wa BRICS, Silaha za Pakistan zinatoka China (Mwanachama wa BRICS) na Marekani

Silaha Za India zinatoka Russia, Marekani, Ufaransa na Israel.

Alafu tofauti na migogoro mingine, huu mgogoro Watu wanachochea sana, Uturuki ina wapump Wapakistan alafu Israel inamwambia India tuko na wewe na tunajua unajua Magaidi wanastahili nini.

Uwaga Watu wanaosema BRICS inampango wa Kuua Dola naonaga kama hawafikirii kwa upana.
 
Kwa hiyo magaidi wanataka kila mtu awe na sigida usoni? Ukiwa huna unauliwa!!!!!!! Hivi inawezekana kweli dunia nzima tuwe tunavaa misuli na makobazi na vibarakashee!!!!!!???? Si hata warabu wenyewe watatushangaa. Yaaaaniiiii dunia nzima tuwe tunasombana kuelekea Saudia kumpiga mawe shetani!!!!!!????
1.ireland ya kaskazini,wakatoliki na waprotestant wanauana.
2.Kongo wakristo wanzuana
3.Haiti wakristo wanauana
4.Burundi wakristo wanauana
5.Urusi na ukraine wakristo wanauana
6.Rwanda wakristo wanauana
7.Uganda kaskaeini wakristo wanauana
8.Sudan ya kusini wakristo wanauana
 
Back
Top Bottom