Yanayojiri kwenye Mgogoro kati ya India na Pakistan. Chanzo, Madhara na nini hatma yake?

Yanayojiri kwenye Mgogoro kati ya India na Pakistan. Chanzo, Madhara na nini hatma yake?

Tanzania hawauani?
Ireland ya kaskazini,wakatoliki na waprotestant.
Wanauana.
2. Kongo wakristo wanauana.
3.Uganda kaskazini wakristo wanauana
4.Haiti wakristo wanauana
5.Urusi na Ukrzine wakristo wanauana.
6.Burundi ,wakristo wanauana
7.Rwanda,wq
Ktisto wanauana
Ua
 
Tatizo hao wakorofi mnawaunga mkono ...amsimami kuwapinga na kuwapiga vita mnawageuza marafiki na ndugu zenu ....shida na unafiki upo hapo.
Mm siyo muislamu, ni mkristo, hata hivyo siyo kila muislamu anaunga mkono uovu na ubatili. Tafiti zinaonyesha kuwa hao unaowaita wakorofi hawazidi hata asilimia 25. Sasa siyo sahihi kuwaweka 75% walio safi kwenye kundi la 25%. Si jambo jema kuwahukumu wote kwa ajili ya wachache wasiyopenda amani au waliopokea mafundisho yasiyo sahihi. Hata kwenye jamii zetu tumekuwa na viongozi waislamu na baadhi uongozi wao umekuwa bora sana. Si jambo jema kuitusi dini nzima kwa ajili ya watu wachache ukifanya au tukifanya hivyo ndiyo tutaonekana tunaichukia uislamu sasa. Wachache waovu wapingwe kwa uovu wao bila kuingange dini nzima.
 
Mm siyo muislamu, ni mkristo, hata hivyo siyo kila muislamu anaunga mkono uovu na ubatili. Tafiti zinaonyesha kuwa hao unaowaita wakorofi hawazidi hata asilimia 25. Sasa siyo sahihi kuwaweka 75% walio safi kwenye kundi la 25%. Si jambo jema kuwahukumu wote kwa ajili ya wachache wasiyopenda amani au waliopokea mafundisho yasiyo sahihi. Hata kwenye jamii zetu tumekuwa na viongozi waislamu na baadhi uongozi wao umekuwa bora sana. Si jambo jema kuitusi dini nzima kwa ajili ya watu wachache ukifanya au tukifanya hivyo ndiyo tutaonekana tunaichukia uislamu sasa. Wachache waovu wapigwe kwa uovu wao bila kuingange dini nzima.
Waislamu ushabikia ukorofi wa waislamu wenzao..ndiyo maana wanawekwa kundi moja
 
Tunaweza rushiana maneno ya kejeli kwa lugha unayoitaka na tukakesha hapa. Lakini nimejua kwamba, wewe hujui chanzo cha mgogoro huu au, unatetea ugaidi, au ugaidi unakupa shida kwa kuwa, wenda unahusika na imani yako.

Be informed, chanzo hasa cha huu mgogoro ni kikundi cha ugaidi cha TRF (The Resistance Front), kufanya shambulio Pahalgam na kuua watu 27 huko Kashmir. Hiki ndio chanzo cha mzozo na TRF ilitamba na shambulioa hilo la kigaidi. Hiki ndio chanzo hasa.

Sasa mimi kusema magaidi hao wavaa "kobazi" kwanini wewe ujae upepo?
How you dare to defend bloodthirsty kaffirs in the name of Jihad?

You're a definitely a clown.

nahisi hamuelewani - mnakabia juu

msikilize mtaalamu SRK - mtaelewana


View: https://youtube.com/shorts/d2xhum-teBQ?si=QitWHVxa9GxQOQ7y
 
Tunaweza rushiana maneno ya kejeli kwa lugha unayoitaka na tukakesha hapa. Lakini nimejua kwamba, wewe hujui chanzo cha mgogoro huu au, unatetea ugaidi, au ugaidi unakupa shida kwa kuwa, wenda unahusika na imani yako.

Be informed, chanzo hasa cha huu mgogoro ni kikundi cha ugaidi cha TRF (The Resistance Front), kufanya shambulio Pahalgam na kuua watu 27 huko Kashmir. Hiki ndio chanzo cha mzozo na TRF ilitamba na shambulioa hilo la kigaidi. Hiki ndio chanzo hasa.

Sasa mimi kusema magaidi hao wavaa "kobazi" kwanini wewe ujae upepo?
How you dare to defend bloodthirsty kaffirs in the name of Jihad?

You're a definitely a clown.
unaweza kutuambia chanzo cha India kuichukuwa kashmir ??
 
Kwa hiyo magaidi wanataka kila mtu awe na sigida usoni? Ukiwa huna unauliwa!!!!!!! Hivi inawezekana kweli dunia nzima tuwe tunavaa misuli na makobazi na vibarakashee!!!!!!???? Si hata warabu wenyewe watatushangaa. Yaaaaniiiii dunia nzima tuwe tunasombana kuelekea Saudia kumpiga mawe shetani!!!!!!????
Ila kiukweli Mzungu kafanikiwa sana kwenye propaganda za kuuchafua Uislamu na kuhakikisha kuwa dunia nzima wengi wa wasiofikiri vyema wawe wanauchukia Uislamu.
Ndugu, hebu amua kuupa uhuru ubongo wako na uutafute ukweli kuwa unalolisema lina ukweli ama la, usije ukawa unajichumia dhambi kwa kumtukana asiye na hatia.
Uislamu haupo hvyo mnavyousemea,
Hizo ni propaganda tuu ambazo zimetengenezwa na Wazungu ili kuupa sifa mbaya Uislamu. Ingekuwa kweli Uislamu ni mbaya kiasi hcho, Wazungu kwa teknolojia zao za silaha dunia nzima wangeshawamaliza hao magaidi,
Any way, hebu tafuta ukweli bila kuweka ushabiki.
 
Back
Top Bottom