kibabu mtoto
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 138
- 171
Mbona ulichokiandika ni utumbo ulooza!!! Kuna uhusiano gani ya unachosema na kinachotokea!!! Balehe isikuendeahe vibaya mpwa, jitahidi kutumia akili za kichwani kuliko hizo zilizopo maeneo mengine.Kwa hiyo magaidi wanataka kila mtu awe na sigida usoni? Ukiwa huna unauliwa!!!!!!! Hivi inawezekana kweli dunia nzima tuwe tunavaa misuli na makobazi na vibarakashee!!!!!!???? Si hata warabu wenyewe watatushangaa. Yaaaaniiiii dunia nzima tuwe tunasombana kuelekea Saudia kumpiga mawe shetani!!!!
Kipindi cha jpm waliuliwa wahalifu waliokuwa wanatumwa na kudhaminiwa na viongozi wa sasa walioshika serikali ambao ni maadui wakubwa wa wazalendo na uzalendoMbona kipindi cha JPM watu walikuwa wakiuliwa!!
sourceMostly of Pakistan missile have been intercepted and 3 jets were shut down (don't trust Chinese products).
Pakistan PM ameitisha kikao kuhusu matumizi ya Nuklia (hapa tayari washaona maji yame wafika shingoni)
Hii escalation inazidi kuongezeka....Juzi tulishuhudia India ikitembeza kichapo ndani ya Pakistan ambapo Pakistan waliapa kulipiza, Sasa leo wametuma makombora kuelekea India.
Chanzo cha hii yote ni kwamba Pakistan wamekua wakilea magaidi wanaoitwa Lashkar-e-Taiba.
Hao magaidi husababisha mashambulizi ndani ya India wakiwa na Nia ya kuhamisha Jimbo la Kashmir kutoka India na kumilikiwa na Pakistan.
Juzi hao magaidi waliiua Wahindi 22 humo jimboni.
India ikaapa kulipiza na ikafanya kweli kwa kupiga maeneo yao ndani ya Pakistan.
________
Pakistan said it launched a military operation against India early on Saturday, targeting multiple bases including a missile storage site in northern India as the neighbors extended their worst fighting in nearly three decades.
Pakistan's offensive came shortly after it said India had fired missiles at three air bases earlier on Saturday including one close to the capital, Islamabad, but Pakistani air defenses intercepted most of them.
Locked in a longstanding dispute over Kashmir, the two countries have engaged in daily clashes since Wednesday when India launched strikes inside Pakistan on what it called militant bases. Pakistan vowed to retaliate.
Pakistan imetumia ndege za China kuangusha Rafale.....Ule mfumo wa ulinzi wa Russia S-400 wa India umeliwa kichwa na Pakistan.
🤣🤣🤣Mostly of Pakistan missile have been intercepted and 3 jets were shut down (don't trust Chinese products).
Pakistan PM ameitisha kikao kuhusu matumizi ya Nuklia (hapa tayari washaona maji yame wafika shingoni)
Kuna baadhi ya dini ukiziangalia unaona kabisa zilitengenezwa na watu yaani ni upuuzi mtupu kabisa.Kwa hiyo magaidi wanataka kila mtu awe na sigida usoni? Ukiwa huna unauliwa!!!!!!! Hivi inawezekana kweli dunia nzima tuwe tunavaa misuli na makobazi na vibarakashee!!!!!!???? Si hata warabu wenyewe watatushangaa. Yaaaaniiiii dunia nzima tuwe tunasombana kuelekea Saudia kumpiga mawe shetani!!!!!!????
Tofautisha kati ya uislamu na dini ya kiislamu, muislamu aliyesafi hawezi kujilipua na kujitoa muanga au kulazimisha itikadi za kipumbavu zifuatwe na kila mtu katika jamii.Hizi taarifa zilizo jaa chuki dhidi ya uislamu mods wanazifurahia saana
Ngoja waje kakaKuna baadhi ya dini ukiziangalia unaona kabisa zilitengenezwa na watu yaani ni upuuzi mtupu kabisa.
Waje tu kwakua Mwenyezi MUNGU aliyeniumba na kunipa pumzi ya uhai. Yeye ni upendo na wala hana dini yoyote.Ngoja waje kaka
Yesu na wafuasi wake walivaa Kobazi vipi wao ni wajinga ?Wavaa kobazi wajinga sana
Ireland ya kaskazini,wakatoliki na waprotestant.Sio chuki waislamu ni wapumbavu sana wana akili ndogo sana
India ni mwanachama wa BRICS, Silaha za Pakistan zinatoka China (Mwanachama wa BRICS) na Marekanihatima ya brics ni vipi aisee?
1.ireland ya kaskazini,wakatoliki na waprotestant wanauana.Kwa hiyo magaidi wanataka kila mtu awe na sigida usoni? Ukiwa huna unauliwa!!!!!!! Hivi inawezekana kweli dunia nzima tuwe tunavaa misuli na makobazi na vibarakashee!!!!!!???? Si hata warabu wenyewe watatushangaa. Yaaaaniiiii dunia nzima tuwe tunasombana kuelekea Saudia kumpiga mawe shetani!!!!!!????
For your Information wanaopigana hii vita ni Matapeli na scammers Bora Duniani so usimamini kila kitu kutoka Uwanja wa vitaUle mfumo wa ulinzi wa Russia S-400 wa India umeliwa kichwa na Pakistan.