Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
UaIreland ya kaskazini,wakatoliki na waprotestant.
Wanauana.
2. Kongo wakristo wanauana.
3.Uganda kaskazini wakristo wanauana
4.Haiti wakristo wanauana
5.Urusi na Ukrzine wakristo wanauana.
6.Burundi ,wakristo wanauana
7.Rwanda,wq
Ktisto wanauana
Mm siyo muislamu, ni mkristo, hata hivyo siyo kila muislamu anaunga mkono uovu na ubatili. Tafiti zinaonyesha kuwa hao unaowaita wakorofi hawazidi hata asilimia 25. Sasa siyo sahihi kuwaweka 75% walio safi kwenye kundi la 25%. Si jambo jema kuwahukumu wote kwa ajili ya wachache wasiyopenda amani au waliopokea mafundisho yasiyo sahihi. Hata kwenye jamii zetu tumekuwa na viongozi waislamu na baadhi uongozi wao umekuwa bora sana. Si jambo jema kuitusi dini nzima kwa ajili ya watu wachache ukifanya au tukifanya hivyo ndiyo tutaonekana tunaichukia uislamu sasa. Wachache waovu wapingwe kwa uovu wao bila kuingange dini nzima.Tatizo hao wakorofi mnawaunga mkono ...amsimami kuwapinga na kuwapiga vita mnawageuza marafiki na ndugu zenu ....shida na unafiki upo hapo.
Waislamu ushabikia ukorofi wa waislamu wenzao..ndiyo maana wanawekwa kundi mojaMm siyo muislamu, ni mkristo, hata hivyo siyo kila muislamu anaunga mkono uovu na ubatili. Tafiti zinaonyesha kuwa hao unaowaita wakorofi hawazidi hata asilimia 25. Sasa siyo sahihi kuwaweka 75% walio safi kwenye kundi la 25%. Si jambo jema kuwahukumu wote kwa ajili ya wachache wasiyopenda amani au waliopokea mafundisho yasiyo sahihi. Hata kwenye jamii zetu tumekuwa na viongozi waislamu na baadhi uongozi wao umekuwa bora sana. Si jambo jema kuitusi dini nzima kwa ajili ya watu wachache ukifanya au tukifanya hivyo ndiyo tutaonekana tunaichukia uislamu sasa. Wachache waovu wapigwe kwa uovu wao bila kuingange dini nzima.
Duu hi kiboko
Tunaweza rushiana maneno ya kejeli kwa lugha unayoitaka na tukakesha hapa. Lakini nimejua kwamba, wewe hujui chanzo cha mgogoro huu au, unatetea ugaidi, au ugaidi unakupa shida kwa kuwa, wenda unahusika na imani yako.
Be informed, chanzo hasa cha huu mgogoro ni kikundi cha ugaidi cha TRF (The Resistance Front), kufanya shambulio Pahalgam na kuua watu 27 huko Kashmir. Hiki ndio chanzo cha mzozo na TRF ilitamba na shambulioa hilo la kigaidi. Hiki ndio chanzo hasa.
Sasa mimi kusema magaidi hao wavaa "kobazi" kwanini wewe ujae upepo?
How you dare to defend bloodthirsty kaffirs in the name of Jihad?
You're a definitely a clown.
unaweza kutuambia chanzo cha India kuichukuwa kashmir ??Tunaweza rushiana maneno ya kejeli kwa lugha unayoitaka na tukakesha hapa. Lakini nimejua kwamba, wewe hujui chanzo cha mgogoro huu au, unatetea ugaidi, au ugaidi unakupa shida kwa kuwa, wenda unahusika na imani yako.
Be informed, chanzo hasa cha huu mgogoro ni kikundi cha ugaidi cha TRF (The Resistance Front), kufanya shambulio Pahalgam na kuua watu 27 huko Kashmir. Hiki ndio chanzo cha mzozo na TRF ilitamba na shambulioa hilo la kigaidi. Hiki ndio chanzo hasa.
Sasa mimi kusema magaidi hao wavaa "kobazi" kwanini wewe ujae upepo?
How you dare to defend bloodthirsty kaffirs in the name of Jihad?
You're a definitely a clown.
Muongozo aliyonipatia nikwamba yeye ni roho hivyo nimwabudu katika roho na ukweli.Je hana muongozo wowote aliyo kupa
Ila kiukweli Mzungu kafanikiwa sana kwenye propaganda za kuuchafua Uislamu na kuhakikisha kuwa dunia nzima wengi wa wasiofikiri vyema wawe wanauchukia Uislamu.Kwa hiyo magaidi wanataka kila mtu awe na sigida usoni? Ukiwa huna unauliwa!!!!!!! Hivi inawezekana kweli dunia nzima tuwe tunavaa misuli na makobazi na vibarakashee!!!!!!???? Si hata warabu wenyewe watatushangaa. Yaaaaniiiii dunia nzima tuwe tunasombana kuelekea Saudia kumpiga mawe shetani!!!!!!????
Mtu anaweza kuchukia ugaidi ila akawa anashibikia vita ya Ukrane na Russia.You're definitely a dumb. Unataka mimi nione ugaidi kama jambo la maana sio!
Mtu anaweza kuchukia ugaidi ila akawa anashibikia vita ya Ukrane na Russia.