Mzee taarifa zako unatoa wapiπππNasikia marekani kahamishia meli zake zile destroyer zote pwani ya israeli zilizolua redsea π€£
Wewe unadhani hizo video wanarecord Hezbollah? Hizo wanarekodi walowezi wa kiyahudi na simu zao hao hawaruhusiwi kuonesha impact hata siku moja . Mbinu za kivita hizo.Evidence?! ππππ
Hatupigi ramli, evidence za video maroketi yakitunguliwa zimesambaa huko Twitter, tuletee na ww tuone Irone dome zilivyosambaratishwa
View: https://twitter.com/Megatron_ron/status/1778833264318308512?t=LByyaM3uDgCDR5Ddil5XaA&s=19
Acha Tuone Ingawa Siyo Kila Mara Mambo Ni Rahisinadhani alichokifanya Iran kule Iraq baada ya kamanda wake kuuawa na marekani mnakumbuka! Iran hua hana kubwabwaja maneno... wait and see.
Soma tena nilichoandikaMzee taarifa zako unatoa wapiπππ
Marekani kashasogeza meli karibu na pwani ya Israel ikiwemo USS Philippines. Hii ina cruise missiles za kutosha.
Sasa ww hizo za kusambaratishwa kwa Iron dome umeziona wapi?! Karekodi nani?! ππππWewe unadhani hizo video wanarecord Hezbollah? Hizo wanarekodi walowezi wa kiyahudi na simu zao hao hawaruhusiwi kuonesha impact hata siku moja . Mbinu za kivita hizo.
Nyingine Hezbollah wanarekodi wenyewe subiri utapata majibuSasa ww hizo za kusambaratishwa kwa Iron dome umeziona wapi?! Karekodi nani?! ππππ
π€£ π€£ ila Watu IranIran mwanaume wiki sasa watu wanajamba jamba vikao mpaka usiku wa manane huko israeli .kila mmoja anapiga simu kumsihi asijibu mapigo mwanaume kawaambia wakae tayari lazima ajibu mapigo.
Maalim mbona una jina la kikafiri we mamluki tu utakuaIran mwanaume wiki sasa watu wanajamba jamba vikao mpaka usiku wa manane huko israeli .kila mmoja anapiga simu kumsihi asijibu mapigo mwanaume kawaambia wakae tayari lazima ajibu mapigo.
Kama Russia kashindwa kuipiga Ukraine mwenyewe mpaka anaomba msaada NK Na Iran kwann utake Israel ipigane yenyewe?!Israeli hawezi kupigana na Iran bila msaada wa marekani. Naona marekani serikali yote imehamia Tel avivi hapo . Iran kaongea tu imekua tabu simu zinapigwa dunia nzima . Aisee
Evidence Evidence Evidence!!!!Nyingine Hezbollah wanarekodi wenyewe subiri utapata majibu
Iran bila kufadhili na kupigana na Israel kwa mgongo wa proxies kama Hezbollah. Halafu sema Iran kapigwa sio kaongea. Kapigwa pale Damascus.Israeli hawezi kupigana na Iran bila msaada wa marekani. Naona marekani serikali yote imehamia Tel avivi hapo . Iran kaongea tu imekua tabu simu zinapigwa dunia nzima . Aisee
Wenzako hawalali maana hawajui siku wala saa watakapotembelewa na mwana wa ajemi wewe unapiga porojo JF.π€£ π€£ ila Watu Iran
Yaani Bado mnamuamini Iran?
Hizi habari za urusi kushindwa kuipiga Ukraine unadanganywa na nani?Kama Russia kashindwa kuipiga Ukraine mwenyewe mpaka anaomba msaada NK Na Iran kwann utake Israel ipigane yenyewe?!
Serikali gani iliyohamia Jerusalem wakati Biden yupo zake White House anakunywa Coca-Cola.
Kushindwa?!Hizi habari za urusi kushindwa kuipiga Ukraine unadanganywa na nani?
Subiri majibu wale jamaa wa Hezbollah huwa wanajibu kwa wakati .Evidence Evidence Evidence!!!!
Malibu Yao ndo hizo roketi ambazo zishapanguliwaSubiri majibu wale jamaa wa Hezbollah huwa wanajibu kwa wakati .
Ndio nimesoma umeseme urusi imeshindwa kuipiga Ukraine peke yake. Huu ni uongo urusi hapokei msaada wowote iwe fedha , mamluki au silaha kupigana Ukraine. Israeli mpaka sasa kashapokea zaidi ya dola bilioni 100 kupigana na Hamas hushangai tu π€£Kushindwa?!
Soma tena post yangu
Zilizopiga target hujaoneshwaMalibu Yao ndo hizo roketi ambazo zishapanguliwa
Hivi zile Shaheed drones zimetoka nchi gani vileeee?!Ndio nimesoma umeseme urusi imeshindwa kuipiga Ukraine peke yake. Huu ni uongo urusi hapokei msaada wowote iwe fedha , mamluki au silaha kupigana Ukraine. Israeli mpaka sasa kashapokea zaidi ya dola bilioni 100 kupigana na Hamas hushangai tu π€£