goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Ukristo zaidiUislam ungekuwa unamheshimu Mwanamke asingekuwa mtumwa wa Mwanaume.
Uislam unamkandamiza Sana Mwanamke pasipo Logic yoyote.
Uislam haumtambui mwanamke kama MTU Bali unamtambua kama kiumbe kisicho na hisia.
Ndîo maana kûna Ndoa za Wake zaidi ya wanne.
Uislam ulichukua mapokeo ya kiarabu na kuyaingiza kwèñye Quran na Dini ya kiislam.
Mfano Swala la mavazi Kwa Wanawake, Swala la kuzika mapema n.k