LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Sheria za vita zipo na zina manufaa iwapo zikifuatwa,mfano mzuri ni vita ya Urusi na Ukraine asilimia 95 ya walio kufa kwenye hiyo vita ni wanajeshi tu.

Hizô Sheria ni geresha tuu.

Hiyo ya Ukraine ni operation tuu.

Vita ni Kuua na kuangamiza Basi.

Wananchi wasiouawa tafsiri Yake wamejisalimisha na kuungana na adui
 
Mbona anachelewa sasa kujibu, hadi wakae vikao kama vikoba washauriane kufunga hadi anga lao wenyewe, Kweli Israel mbabe wa ME
 
Hivi huyu Iran anataka nini, si alisema shambulizi la Israel halikuwa na athari yoyote ya maana sasa iweje anataka aishambulie tena Israel..😛😛😛
Baadae IRAn akaona atakosa sababu ya PROMIS NO 3 so akangaza wqjeda w4 wamekufa na majanga mengine kisha mbio akaenda UN kulalamika kushambuliwa na ISRAEL sasa ndio analipiza nayeye kushambuliwa kaa kwakutulia kula msos mapema ushibe yajayo ktk PROMIS NO 3 sio poa baada ya apo utakumbuka hii msg AKUNA TENA ISRAEL wala USA WA ULAYA watamjibu IRAN kijesh wataogopa PROMIS NO4 USA na wenzie watarudi kwenye vikwazo vikali utasikia vikwazo vikali sana 😬😬😬
 
Duru zinasema kuwa Iran imezijulisha nchi za kiarabu zilizo eneo hilo kuwa inajiandaa kuanzisha mashambulizi dhidi ya Israel.
Iran imefafanua kuwa shambulizi linalo litakuwa na nguvu sana na silaha zitakazo tumika zitakuwa na nguvu kuliko la hapo awali.
Sasa anawaambia jirani ili iweje! Si apeleke moto? Baada ya hapo asubiri maana gea ya kwanza ni vinu vya nuclear na mitambo ya mafuta!
 
Baadae IRAn akaona atakosa sababu ya PROMIS NO 3 so akangaza wqjeda w4 wamekufa na majanga mengine kisha mbio akaenda UN kulalamika kushambuliwa na ISRAEL sasa ndio analipiza nayeye kushambuliwa kaa kwakutulia kula msos mapema ushibe yajayo ktk PROMIS NO 3 sio poa baada ya apo utakumbuka hii msg AKUNA TENA ISRAEL wala USA WA ULAYA watamjibu IRAN kijesh wataogopa PROMIS NO4 USA na wenzie watarudi kwenye vikwazo vikali utasikia vikwazo vikali sana 😬😬😬
Ndoto nzuri sana hii!
 
Mpigaji serious hukaa kimya.
Sasa huyu muajemi pekeche pekeche zote hizi anadhani haziwafikii walengwa?
 
Israel kikawaida yeye anapiganaga vita
FB_IMG_1730471687954.jpg
 
Iran hamiliki Suez Canal! Hiyo route itaendelea kuwepo!
Suez canal inaenda wapi ukitoka Israel!?
Si inakuja kutoea red sea baab al mandib!?
Kilitokea nini kwa meli za biashara za Israel zilipopita suez canal kwenda red sea ili ziendelee na safari!??
😂😂😂😂😂Bro unachekesha kweli.
Miliki kilwa road mimi namiliki ukanda wa Kongowe tuone kama utapita kuelekea kusini.
 
Back
Top Bottom