Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliuliwa Yesu na hawa magaidi wa Israel,walimvalisha nepi,walimsulubu,wakamchoma mkuki,wakamdhihaki,wakamuua,na alikuja kuwakomboa,na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa.Itakuwa wengine,wawache hivi hivi.Duh jamaa una roho ngumu. Ndugu zako katika imani ya kiislamu wanateketea wewe bado unaleta usokolokwinyo humu.
Unaambiwa yahya sinwar amekuta bikra wamekwisha huko kuzimu wewe bado unaleta ngonjera?
Nimeamini watu hawana huruma, wapalesitina mwaka sasa hawakijui kitanda wewe unaleta mkundu wako huku?
Riz ni mpumbavu sana
Unaripoti kutoka Mafinga.Hezbollah inapumulia mashine kwa sasa.
Wishful thinkingHezbollah has precision missiles and can target IDF anywhere they are socializing.
In Gaza, the rockets usually fall further away from their soldiers which gives them a chance to run away, but that doesn't work against Hezbollah. They will hit without them noticing.
Waweze tuone.Israel anadhani michezo yake watu hawaiwezi
Israel kafika wapi Lebanon,mto litan!?Hezbollah inapumulia mashine kwa sasa.
Wametuma msg kwenye simu za wafanyakazi bandari haifaWaweze tuone.
Israel kafika wapi Lebanon,mto litan!?
Arudie tena funzo maana hawezi kueleweka kwa hamas wala hizboUharibifu huu unatusaifuaje binadamu? IDF ianze kufikiria upya sasa namna nzuri ya kumalizana na mahasimu wao.
Wamemaliza Gaza na West Bank. Na Lebanon nayo wanataka iwe magofu?
Anyway, wale wajinga wanaofikiria vita ni lelemama na kuambiana uongo wameshapewa funzo
Wanaowatuma wapigane wamejificha nchi nyingine wanaogopa kufaArudie tena funzo maana hawezi kueleweka kwa hamas wala hizbo
Mkuu watoto huwaonei huruma yani wako hospital vingine ni vidogo lakini Wana majeraha makubwa na badegi 😭 wengine wanaumia wasiokuwa na hatiaSitaki kujua nani anapata faida au nani anapata hasara ninachokiomba itembee kwa miaka kama 10 hivi
Mazayuni unayajua? Bora wateseke sasa hatima ya maisha yao ijulikane sio manyanyaso katika ardhi yao wewe unataka wawe chini ya mzayuni kila siku kuuawa kufungwa nje nje hayo maisha gani? Bora kiwake either wapate nchi yao au pasikalikeMkuu watoto huwaonei huruma yani wako hospital vingine ni vidogo lakini Wana majeraha makubwa na badegi 😭 wengine wanaumia wasiokuwa na hatia