zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
We fala kweli hao si wako kazini wanasubiria abiria .umaskin uko wapi hapo ? Wajua Boda Boda zinalisha familia ngapi ?Watu wana maisha magumu hali ni mbaya lakn usiku kucha kuleta habari za vit zisizokuwa na msaada wowote.View attachment 3131229