LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Israel walisema kuwa wataanza kuangamiza vitega uchumi vyote vya Hezbollah. Naona wameanza.

Kama wewe ni mfanyakazi kwenye hivyo vitega uchumi, ni aheri kuacha kazi bila hata ya kuandika barua, ukahangaikie maisha kwa njia nyingine.
 
Hujaona bado watu wenye maisha magumu naona hao kwenye picha SI angalau Wana uwezo hata wa kula Milo miwili
Hiyo picha pengine unaiona tu bila kuwaza undani wake. 80% ya boda wengi wao pikipiki sio zao
hizo wanaendesha kwa mkataba. nimewah kuwa na biashara hii nilikuwa na pkipiki 2 zote niliwapa watu asee
wakati wa mvua hata marejesho anakoswa na mkataba unasema kila siku alete 10k.
Muda mwinine anakwambia hela yote imeishia kwenye matengenezo tu hata kwakwe hana cha kupeleka
 
IDF inabidi ifungue kampuni ya building demolition - Wale wanaotumia baruti kushusha maghorofa ya zamani kwa ajili ya kujenga mapya.

IDF wakipitisha chuma kimoja kazi kwisha
 
Watu wana maisha magumu hali ni mbaya lakn usiku kucha kuleta habari za vit zisizokuwa na msaada wowote.View attachment 3131229
sisi waafrica hata kama wanatuambia tunamaisha magumu na tunaishi chini ya dolla moja ila huwa haturuhusu stress na panicking kama wao asia na wazungu africa hatujali tumejizoelea na hali zetu na Mungu nae fundi vitambi vinatoka fresh..! hapo tupo tunapiga stori za simba na yanga tukichoka tunapiga stori za gaza na israel njaa zikiuma tunaenda kwa mama ntilie tunashiba kwisha..
 


Uharibifu huu unatusaifuaje binadamu? IDF ianze kufikiria upya sasa namna nzuri ya kumalizana na mahasimu wao.
Wamemaliza Gaza na West Bank. Na Lebanon nayo wanataka iwe magofu?
Anyway, wale wajinga wanaofikiria vita ni lelemama na kuambiana uongo wameshapewa funzo
 
Back
Top Bottom