LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Mafuta hupita strait of hormuz,ambayo ni bahari ya Iran,mafuta na gesi yote ya saudia,qatar etc,we furahia tu refinery za mafuta za Iran kupigwa,nauli ya daladala itakua buku tano kimara-gerezani
Hata kama isingekua hivyo kwani ukipita suez canal unaelekea wapi kama sio kupita red sea!?
Na hapo lazima uiguse baab al mandib kwa kidume Yemen.
 
Duru zinasema kuwa Iran imezijulisha nchi za kiarabu zilizo eneo hilo kuwa inajiandaa kuanzisha mashambulizi dhidi ya Israel.
Iran imefafanua kuwa shambulizi linalo litakuwa na nguvu sana na silaha zitakazo tumika zitakuwa na nguvu kuliko la hapo awali.
Warhead haitafsiriwi kama 'kichwa cha vita' bali ni 'kombora ama makombora'.
 
Ndio maana Wayahudi wa kike walipiga viwanda vyenu vya silaha na kujamisha radar😂
Mpaka sasa mmesha ombwa ushahidi wa hizo tumba zenu lakini mpaka sasa hamjawahi kuleta zaidi ya maneno.
Alafu nini cha ajabu kwa mwanamke kuendesha ndege ya kivita?
Ya kwamba mwanamke akiendesha ndege ya kivita basi uwezo wake wa kupiga target unapungua au mabomu yaliyoko kwenye hiyo ndege yataogopa mwanamke hivyo hayatalipuka?
Unashangaa mwanamke kuendesha ndege ya kivita ila hushangai nchi yako kuongozwa na mwanamke ambaye kauli yake moja tu ina tosha kukufanya ww na ukoo wako mzima mkafirwa mchana kweupe na mamilioni yote ya watu walioko ndani ya nchi hii wakaufyata?
 
Shetani ni baba wa Uongo

Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo.

Yohana 8:44

Njia ni moja tu ya kweli zingine ni kuzimu
6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6

Quaran ndo inaelekeza waislamu kuwauliza waliopopewa kitabu wakristo na wayahudi
 
Mpaka sasa mmesha ombwa ushahidi wa hizo tumba zenu lakini mpaka sasa hamjawahi kuleta zaidi ya maneno.
Alafu nini cha ajabu kwa mwanamke kuendesha ndege ya kivita?
Ya kwamba mwanamke akiendesha ndege ya kivita basi uwezo wake wa kupiga target unapungua au mabomu yaliyoko kwenye hiyo ndege yataogopa mwanamke hivyo hayatalipuka?
Unashangaa mwanamke kuendesha ndege ya kivita ila hushangai nchi yako kuongozwa na mwanamke ambaye kauli yake moja tu ina tosha kukufanya ww na ukoo wako mzima mkafirwa mchana kweupe na mamilioni yote ya watu walioko ndani ya nchi hii wakaufyata?

Kwa ulimwengu wa Waarabu wanaokatazwa kuendesha gari huoni ni ajabu Mwanamke kurusha Ndege?

Mwanamke kuendesha Ndege ni habari kûbwa katika ulimwengu wa kiarabu kutokana na vile waarabu wanavyowachukulia Wanawake
 
Sasa anawaambia jirani ili iweje! Si apeleke moto? Baada ya hapo asubiri maana gea ya kwanza ni vinu vya nuclear na mitambo ya mafuta!
Huwa inajulisha ili kuepusha ndege za abilia kupigwa na makombora.

Alafu Israel akishambulia vinu vya nyukilia vya Iran yeye vya kwake vitabaki salama?
 
Magaidi wa Israel safari hii hayo mahandaki mnayoingiaga kujificha siyo sehemu salama pia
ticket za ndege ya karibu ni kuanzia mwezi wa 7 mwaka 2025 .walioko airport tel Aviv walifanya booking miezi miwili iliyopita
 
Kwa hiyo Israel siku hizi ni waarabu?

Siô waarabu ila wanajaribu kuwaeleza waarabu kuwa hao Wanawake wenu mnaowazuia wasifanye Baadhi ya Kazi kutokana na Mila na mapokeo potofu Kwa upande wa Waisrael au Dunia ilipofika hata Mwanamke anaweza kufanya.

Hivyo hiyo ni meseji Kwa Wanawake wa jamii za kiarabu Wapate uamsho waamke Kutoka katika utumwa wa Watu wajinga wanaotumia desturi na Mila potofu kuwakandamiza
 
Huu ni utoto sasa wanawake utawachukiaje akati huo uislam unamuheshim mwanamke ,?

Uislam ungekuwa unamheshimu Mwanamke asingekuwa mtumwa wa Mwanaume.

Uislam unamkandamiza Sana Mwanamke pasipo Logic yoyote.

Uislam haumtambui mwanamke kama MTU Bali unamtambua kama kiumbe kisicho na hisia.
Ndîo maana kûna Ndoa za Wake zaidi ya wanne.

Uislam ulichukua mapokeo ya kiarabu na kuyaingiza kwèñye Quran na Dini ya kiislam.
Mfano Swala la mavazi Kwa Wanawake, Swala la kuzika mapema n.k
 
mwambieni Iran ujumbe huu. NCHA YA MKUKI HAIPIGWI NGUMI! JIFUNZENI KWA HAMAS NA HISBOLLAH. WAMEANZISHA VITA WENYEWE HIVI SASA KILA KUKICHA UTASIKIA WAMEKUFA WATU SABINI WENGI WAO NI WATOTO NA WANWAKE ILI DUNIA IWAONEE HURUMA VITA ISITISHWE. NDUGU ZANGU KULE KUNA BENJA YEYEY HANA UCHOGO MSAMAHA HASIKII LA MNADI SWALA WALA LA MUAZINI, YEYEY AKIANZA NI KUBONDA TUU.
 
We chizi kweli hili jukwaa la kupeana taarifa na kujadili, hatuna uwezo wa kumfata Iran kumwambia huo utumbo wako ,.
Kwanza mtu mwenyewe huna impact hata mtaani kwako afu unatoa maelekezo kama kiongozi wa Nato vile
 
Pole ndugu kwa kupeteza muda wako..mtu aliyeaminishwa isreli sio watu wa kawaida hata wakibondwa mara 10 wao watakuja kuwatetea kuwa huo wamepiga sehem za wazi ..na isreli Italipa ..
 
Back
Top Bottom