Live coverage on JamiiForums
Anategemea Marekani na Uingereza
 
Hii ni Iran mkuu Mazayuni yakijaribu kulipa kisasi basi watakutana na mkono wa moto wa Iran.

Hii dozi waliokula Israel ni nusu dozi sasa wakijaribu kurusha makombora yao ndiyo watajibiwa kikamilifu.
Hio sio nusu dozi kaka. Hapo wamechomwa sindano tu ya kuchukua kipimo kipelekwe maabara. Wakijitingisha tu wanachomekwa bomba la mkumbu
 
Hio sio nusu dozi kaka. Hapo wamechomwa sindano tu ya kuchukua kipimo kipelekwe maabara. Wakijitingisha tu wanachomekwa bomba la mkumbu
Kijana. Huwezi kuchangia bila kutoa lugha za ukakasi? Yote katika yote, Iran amefanya vzr. Hakuna kulialia tena. Wapigane sasa nasi tutawaombea.
 
Hizi namba bila ufafanuzi mtu anaweza ingia kichwakichwa akaamini isivyo sahihi. Mfano kill to loss ratio ya F-16 ni 76 to 1 (F-16 ziliwahi kuua ndege 76 angani na ni F-16 moja iliwahi dondoshwa I think ilikuwa ni ya India dhidi ya Pakistan). Na kill to loss ratio ya F-15 ni 102 to 0, F-15 mbalimbali duniani zimekuwa ndege 102 kwenye aerial duels angani ila hakuna F-15 iliwahi dondoshwa angani na ndege nyingine.

Hapo sasa Israel yenye F-16I 'Soufa' zaidi ya 300 na F-15 ndege hizi mbili ni latest na zina rekodi nzuri angani, jumlisha na F-35 stealth. Jumlisha na uwezo wa kujazia mafuta angani ambao Israel anao unakuta Israel ina advantage kubwa sana kwenye ndege.

Iran ana idadi kubwa ya ndege ila za zamani. Mfano F-14 Tomcat alizonazo Iran ni za Marekani, ambaye aliishaacha kutengeneza na kutoa support. Na ziko outdated za Marekani mwenyewe aliziuza vyuma chakavu mwaka 2006. Na Iran ana US made F-4/F-5 ndege za zamani US kaacha kutumia miaka zaidi ya 30 uko.

Iran ina sanctions kwenye silaha ndio maana sio Urusi wala China wanakubali kuiuzia fighters wanajiogopa. Sasa kwa mlinganyo huo, nina semi za Scania tisa na una Suzuki Carry Kirikuu kumi na tano. Wewe utaonekana una magari mengi ya mizigo, ila sasa unabeba nini.

Na data nyingine zina maelezo yake. Mfano kwenye naval power, Israel ana advanced warships chache za kisasa na bora kama Saar 6, zimefanya interceptions nyingi. Iran hata speed boats nazo anahesabiwa kama naval assets kwahiyo anaonekana ana meli nyingi. Ndio maana kwenye Navy tunapima tonnage za displacement. Una mitumbwi 20, nina boti 15 utaonekana na vyombo vingi vya usafiri kunizidi ila nakuzidi uwezo.

Kwenye population ni yaleyale Israel imepigana vita za Kiarabu ikiwa na disadvantage ya population mara zote. Kwenye tanks uko ni kawaida ya Israel tankers kuwa na wastani mzuri kwenye tank-to-tank combat, achana na kuviziana kwa infantry vs tank.

Advantage ya Iran ni kuwa kubwa, airbases nyingi na bandari. Mafuta inajitegemea na population pia haijawahi kuwa disadvantage. Soviet Union walikufa raia kama milioni 20 kwenye vita ila mapigano yaliendelea. Ni disadvantage kwa Israel ambayo ina watu wachache na inathamini sana maisha ya mpiganaji mmoja mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ