Live coverage on JamiiForums
Eeeeh waaaah!
Wafanye kweli sasa, waache kutingisha makalio tu hapo Tel Aviv!
Huu sio wakati wa kupiga ngenga!!!
 
Sifa mojawapo ya magaidi ni kutopenda kulipiziwa,Iran ndio nchi pekee duniani iliyokuwa ikitangaza kuifuta Israel kwenye uso wa dunia na kwa nguvu ya shetani dunia haikuona kama ni kitisho kwa Israel!
Hakuna UN Charter inayoruhusu kushambuliwa kisa kutishiwa na Maneno.

Unaruhusiwa kushambuliwa pale unaposhambuliwa mkuu, siyo ukichambw
 
BREAKING

Abolfazl Amoui, spokesman for the National Security and Foreign Policy Committee of the Iranian Parliament says Iran is ready to use weapons that it has not used before and we have a plan for all scenarios if Israel escalates
Hizi ndo habari napenda kuzisikia siyo kubwekeana tu
 
Israel hawezi kulipiza leo au kesho itachukua mda hata Marekani kasha mkataza kulipiza haraka,......escalation ya vita itakua kubwa zaidi kuizuia vita ikianza, hizo ni mbwembwe za natanyahu, huo Muziki sio mdogo.
Uwajui wayahudi wewe,wana msemo wao ukipigwa mara moja lipiza mara kumi,damu ya muisrael mmoja ulipwa na damu 100 za adui.

All in all vita ni kwa ajili ya wajinga,wamekosa busara kuyamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…