Live coverage on JamiiForums
Miaka yote Iran ndie anaetafutwa hata vita vya miaka 8 kati ya Iraq na Iran ilikuwa ni kummaliza nguvu Irani.
Sadam akiwa katengenezwa na wamarekan
Ni changamoto ambayo imeikomaza Iran mpaka kuwa kama ilivyo sasa
West walimrundikia silaha muhimu zote. Saddam Hussein

Walimtumia Saddam kama chewing gum ulipoisha utamu wake wakamtema, wakamtengezea zengwe wakambonda. Wakataka kutumia anga ya Iran kumshambulia Saddam, Imam Khomein akawaambia ukhanithi huo kawapelekeeni Mabwanyenye wa Kiarabu
 
Hebu waza mamia ya magobore au mafataki kama haya yalitumwa kwa kataifa kadogo mithili ya mkoa na kaliyashusha yote, je kuna taifa Afrika lenye uwezo huo?

Mpaka sasa matokeo -Israel imepoteza binti mmoja, Iran imepoteza majemedari saba.



Kataifa kenyewe haka hapa
Wavaa dera mpate aibu brazaj

 
Maneno mengi sana, una chochote unaropoka ropoka tuuu mara jericho mara dolphin 🐬. Tumia muda kutengeneza kipato
 
Waziri wa ulinzi anawahakikishia mullahs wamefel kichapo kipo njiani kuwanyea ni kuwatembezea kichapo tu.
Kwa jinsi pro Iran wanavyotamba baada ya kombora zao kushindwa reach target 🎯 zingine kufell kuruka zingne zilishia njian nying kupigwa chin na iron Dom pro Iran wanajisifu kumbe hawana uwezo wowote wa defense kwa kile kinachokuja kuwapata Russia amewaonea huruma awape ndege za kisasa na mfumo wa ulinzi ila kwa IDF ni kazi bule maana Israel kasema atapiga popote pale ktk Iran territory na iyo mifumo ifungwe ifanye kazi sio Leo na pili Russia kashindwa kazi kule ukraine ataweza tunisha kwa Jews wenye tech standard kabisa

Sasa muda ndio huu israel hajawahi shindwa na hii vita kaitaka muda mrefu ndio maana alimchokonoa mandevu na Dela lake akajaa mzima mzima sasa na Israel anajua akimjib Iran nae atajib tena kama zuzu flan vitaumana

Defense Minister Gantz to soldiers on the northern border: "The Iranians failed in their attack and will fail deterring Israel.The skies of the Middle East are open to the Air Force-any enemy that fights against us will be defeated."
 
Kijana aliyetumwa na Mama Ngina kuja kueneza propaganda Tanzania. Umekula lakini?
 
MUNGU ibariki Iran

⚡️BREAKING

Putin told the Iranian president that what Iran did, in response to Israel's criminal act and in the shadow of the UN Security Council's inaction, was the best way to punish the aggressor and a demonstration of the tact and rationality of the Iranian leadership
 
Ukimuona mbwa mtini ujue yupo aliyempandisha, Urusi,China N Korea hawawezi mwacha aanguke Iran.View attachment 2965558
Putin nae anavita yake Hana uwezo wa kusupport sana anatafta namna kuwepo ktk hii conflict sabab west wapo ndio maan nae anataka kusteal the show ila tambuaen kwamba Israel hawatafyata never wakati ni sasa vita vipigwe tu Iran kwao ni potential enemy lazima kumpa pressure
 
Ukimuona mbwa mtini ujue yupo aliyempandisha, Urusi,China N Korea hawawezi mwacha aanguke Iran.View attachment 2965558
Hiyo tweet ni maoni binafsi ya mtumiaji mmoja wa X, siyo taarifa rasmi.

Iran ndiye mkufunzi na mfadhili wa makundi ya ugaidi Middle East. Huwezi kumaliza ugaidi huko bila kwanza kumtafutia dawa Iran. Ukitaka kuuwa nyoka lazima ubomoe kichwa
 
Israel kamwe hawezi kushambulia Iran moja kwa moja kama alivyo Fanya Iran.....anamjua Iran vizuri sana.....na anamjua Muajemi akichafukwa huwa harudi nyuma.......ataishia kubweka bweka tu lakini hakuna atakachofanya.......hayo MAKOMBORA 200 tu wamekuja kumsaidia ndugu zake.....
 
Muajemi nimemdharau sana na mafataki yake.Mnakaa.mnamsifia humu kumbe hana kitu.Imagine.mafataki 300 yanaishia kuumiza kabinti!
 
Iran sio wanawake na watoto wanaouawa kila siku huko Gaza
Israel itachakaa , naona hujui Iran ina capability gani wewe .
Acha kucheza na moto , hayo mazayuni yenyewe yanajua uwezo wa Iran na dhahama inayoweza kuwakuta kama wakileta mzaha na Iran
 

Walisaidia kutungua baadhi na tunashukuru sana kwa huo ushirikiano, ila Israel ilipiga chini asilimia kubwa ya hayo makombora, kimsingi ni dhihirisho tosha kwa Iran kwamba hayo madude yake ni magobore tu yasiyo na umuhimu wowote.
Unatuangusha great thinkers na hizo akili zako za kushikikiwa. Unatia aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…