Live coverage on JamiiForums
Myahudi yupi unamuongelea? Huyu huyu aliyekaa nje ya ardhi yake Kwa miaka 2000 baada ya kuchakazwa na Jenerali Tito wa Rumi? Myahudi huyu huyu aliyekaa kama mtumwa wa Muajemi kwa mamia ya miaka? Myahudi huyu aliyetumikishwa na Wasubi pale Misri Kwa miaka mia nne? Myahudi huyu huyu aliyeshughulikiwa na Hitla? Myahudi huyu huyu anayetolewa Makamasi kwa miezi mitatu Sasa na Hamasi wanaokaa ktk kitongoji kimoja? Msiwe mnadangwa na Wachungaji wenu ktk vibanda vya Ibada. Hakuna binadamu bira kuliko mwingine mbele za Mungu.
 
US waiomba Iran walau iiruhusu Israel ishambulie ili kuondoa aibu waliyoipata
Ukisikia aibu ya mwaka ni hii....Baada ya Israel kushikishwa adabu na Iran jumamosi ilopita sasa jamaa wanaomba at least wapewe empty target za kupiga ndani ya Iran ili kujisafisha na aibu ya kupigwa na Iran mbele ya jamii ya kimataifa!!
⚡️BREAKING

The US contacted Iran, asking it to allow Israel a symbolic strike to save face, an Iranian official told the Cradle

America asks Iran to allow Israel to carry out a symbolic strike to save face.
 
Israel huwa aongei sana anachapa alafu maelezo yanafatia.ukiona anatoa maneno mengi na mikwara jua hapo hamna kitu.
ndio maana unaoa hata mods wameunganisha uzi wako nao wameona hapa hamna ukweli ni mikwara mbuzi tu.
 
Tangu jumamosi mpaka leo kimya,, hakuna cha majibu wala mavi ya majibu, sana sana wamebaki kuomba huruma ya Kimataifa, mala jeshi la Iran litambulike kama kikundi cha kigaidi, utengenezwaji wa silaha wa Iran uwekewe vikwazo, yani bla bla zimekuwa nyingi,, na laiti kama Hamas ndo wangelikuwa wamefanya shambulio lile basi asubuhi tungeona convoy ya vifaru na midege na mbwembwe kibao, lkn kwa muajemi wameufyata pumbavu..
 
Sisi bado tunasubiri warudishe maana pale Gaza wanapigana na wanamgambo ambao hawana hata vifaru....wazichqpe na wanaume sasa ambao kila siku wanawatuhumu kufadhili vikundi vinavyowqshambulia...watu wameshachokoza...sasa na yy arudishe...aache kutafuta huruma ya kimataifa....naona wakikumbuka lile kombora lililotumwa kipindi kile na Iran mpk pale Pqkistan kwny kile kituo Chao cha siri cha kijasusi hawa mazayuni wanakaa kufikiria Mara mbili mbili precision ya haya makombora....sasa na wao wajibu tuone battle kamili
 
Hiyo tweet ni maoni binafsi ya mtumiaji mmoja wa X, siyo taarifa rasmi.

Iran ndiye mkufunzi na mfadhili wa makundi ya ugaidi Middle East. Huwezi kumaliza ugaidi huko bila kwanza kumtafutia dawa Iran. Ukitaka kuuwa nyoka lazima ubomoe kichwa
Siku utakayokuja kujua ukweli kwamba NATO ndio wafadhili wa hayo makundi ya kigaidi na kuwa wao ndio chanzo cha migogoro yote sehemu mbali mbali duniani basi hiyo siku ndio utakuwa umekuwa kiakili. Kwa sasa endelea kubakia huko gizani.
 
Iran wametumia ubabe mkubwa kwa kuishambulia Israel lakini ndege zote na mkombora yote,yameishia kutunguliwa na IDF na washirika wake,makombora na ndege zao zilianza kutunguliwa kabla hata ya kuingia Israel,ubabe mwingi na kelele nyingi lakini matokeo yake sawa na sifuri.

Wakati wenzao wanaojua kupigana vita ndege moja tu, na kombora moja vinasababisha vilio Iran na Hama's kwa kupoteza makamanda wao wa ngazi za juu pamoja na wapiganaji wao.
 
Muajemi nimemdharau sana na mafataki yake.Mnakaa.mnamsifia humu kumbe hana kitu.Imagine.mafataki 300 yanaishia kuumiza kabinti!
Kwa mjibu wa waisrael wenyewe, binti aliumizwa na kipande cha chuma kilichotokana na kombora lao wenyewe,wakati wanatungua ndege za Iran.
 
Kwani baada ya shambulio la Iran ni ndege ngapi zilirejea Iran baada ya kufanya shambulio?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…