Live coverage on JamiiForums
Nikwambie kitu, myahudi naamini ndio anapenda mje wengi hivyo na majeshi yenu.

Sasa hivi anapigana vita ngumu zaidi ya kumdondosha adui yake individually na bado anafanikiwa.

Sasa mkienda wengi hivyo kama nzi ndio atafurahi zaidi, atawalaza chali kwa muda mfupi sana.

Yes, naamini atawalaza chali kwasababu intelijensia makini anayo, silaha anazo, na kuzitumia kwa mafanikio anajua pia.

Hao wanajeshi laki moja, sijui laki nne watadondoshwa kwa drones kadhaa tu za myahudi, na vilè mmethibitisha akili hamna mna nguvu tu, mtasambaratika very soon mkingiia kwenye battle ground.
 
Ningefurahi sana vikundi vinavyoiunga mkono Palestina, kwanza kabisa vingefanya mapinduzi Jordan, Saudi Arabia, Egypt na UAE.

Mzizi wa fitna ungebaki mmoja tu.
Yaan nchi zote hizi zinashindwa na kanchi kamoja tu Israel!
 
Kinachokusumbua ni chuki na Udini.Huna jingine.

Sasa ngoja uone balaa la Israel atakavyo wanyoosha wavaa madela nyie
 
⚡Schrödinger's Fuad Shukr:

A Lebanese security source confirms the killing of Hezbollah leader Fuad Shukr.

Hezbollah expected to release an official statement soon.
 
🇵🇸⚡- BREAKING: Hamas said its political chief Ismail Haniyeh was killed in "a treacherous Zionist airstrike".


🇮🇷🇵🇸⚡- "Ismail Haniyeh's blood will never be wasted," – Iran’s Foreign Ministry Spokesman.


🇮🇷🇵🇸🇮🇱⚡- Hamas confirms the death of Ismail Haniyeh took place in Tehran, Iran. Meaning Israel struck deep inside Iran.


🇵🇸🇮🇱⚡- "The elimination of Ismail Haniyeh will not go unanswered," – Musa Abu Marzouk, Member of the Political Bureau of Hamas.


🇵🇸🇮🇱⚡- Palestinian Authority President, Mahmoud Abbas, condemns the assassination of Hamas Leader, Ismail Haniyeh, and calls on the Palestinian people to unite.


🇮🇷🇵🇸🇮🇱⚡- Iran's National Security Council is deciding on Tehran's response to Ismail Haniyeh's murder – Reuters.
 
🇮🇷🇵🇸🇮🇱⚡- Iran's National Security Council is deciding on Tehran's response to Ismail Haniyeh's murder – Reuters.


🇮🇷🇵🇸🇮🇱⚡- "Be ready to let the Zionists know what the punishment is for spilling the blood of a guest in our house," – Amir Hajizadeh, Head of the IRGC Airforce.


🇮🇷🇵🇸🇮🇱⚡- "The elimination of Ismail Haniyeh crossed all possible red lines, Israel will bear a heavy price," – Iranian National Security Council.


🇮🇷🇵🇸🇮🇱⚡- The assassination of Ismail Haniyeh was carried out with an Israeli guided missile – 'IRD', media of the Islamic Resistance of Iraq.
 
🇺🇲🇮🇷🇮🇱⚡- US forces and Israeli air force are placed on maximum alert in the region to intercept any Iranian retaliation – Israeli media.
 
🇺🇲🇮🇷🇮🇱⚡- US forces and Israeli air force are placed on maximum alert in the region to intercept any Iranian retaliation – Israeli media.
Why us forces!?..aachwe Israel peke yake
 
Historia ya vita ya siku sita inakuja kujirudia.
 
Ningefurahi sana vikundi vinavyoiunga mkono Palestina, kwanza kabisa vingefanya mapinduzi Jordan, Saudi Arabia, Egypt na UAE.

Mzizi wa fitna ungebaki mmoja tu.
Ndo haiwezekani sasa, myahudi anakuja kurudia historia.Mwaka huu itakuwa vita ya siku tatu!
 
Kwa hiyo Iran akitumia proxies wake kushambulia Isreal waliopo Lebanon,Iraq,Syria, Yemen na Palestine ni sawa?
Iran alituma vitu live toka kwake,USA,UK, France, German, saudia, Jordan wakamsaidia Israel kudungua,taifa teule nuksi kivita liachwe peke yake na Mungu wake lijilinde
 
[emoji298]️BREAKING

None of the commanders of the Iranian army and the Revolutionary Guard Corps were seen during the prayer ceremony over the body of Ismail Haniyeh in Tehran

This can only mean one thing...
 
Hakuna hata kamanda mmoja wa Iran alokuwepo msibani leo kwenye swala ya maiti utaratibu ambao haujazoeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…