Hiyo ndo habari mpya watarusha makombora 1500 kwa wakati mmoja
First wave itakua na makombora 1500
Second wave itakua na makombora 1500
Third wave itakua na makombora 1500
Jumla makombora 3500 baada ya hapo Hezbollah, Yemen, Iraq, Hamas na wapiganaji watarusha maelfu ya maroketi na makombora kuelekea Israel
Shambulizi hili linatarajiwa kuleta maafa makubwa na maangamizi ya utawala wa kizayuni wa Israel
Wanajitapa sana mbona sasa wanahaha kuiomba Iran wasilipe?maana hadi maafisa wa US wameenda Tehran kubeg kwa wairan kuwa wasilipe mara oooh tutaondoa vikwazo[emoji12]
Taifa linalojinadi teule linategemea Ulinzi na kutungua makombora kwa hisani, Nchi 40 za magharibi+India, Jordan,UAE, Egpty si tulishakubaliana waisrael ndo baba la dunia[emoji23] mbona hawezi pigana mwenyewe?
Wiki sasa watu wanaishi mashimoni na kwenye mahandaki huko Israel kwa hofu ya makombora ya Iran
Kama ni taifa teule kwanini wasisimame wenyewe?Nyambafuu taifa teule linalia lia wapewe misaada ya silaha kutoka US taifa ombaomba linaitwa taifa la Mungu[emoji23][emoji23][emoji23]
Israel wakinyimwa msaada ndani ya mwezi tu hawatokuwepo kama taifa, jee wangewekewa vikwazo kama Russia, Iran au north korea wangeweza kusavaivu hata wiki?
Ni mjinga na juha anayeweza kuamini Israel wana nguvu!! Israel bila mabeberu hamna kitu!! Kuanzia intelijensia kila kitu anategemea nchi za magharibi zilizoko kwenye nchi adui wao bila misaada wao ni kama Burundi tu
[emoji3586] Iran will fire more than 1500 ballistic missiles at the same time .
#iran
[emoji1130][emoji92]๏ธCommander of Iran's Islamic Revolutionary Guard Corps Aerospace Force, Hajizadeh: Each Khorramshahr-4 missile is capable of hitting 80 targets (probably means a cluster warhead).
If 100 missiles are fired, 8,000 targets in the enemy's territory can be destroyed.