Yanayojiri kwenye Mkutano wa Rais Samia, Tandahimba

Duh CCM mna kazi hata Tandahimba mnakosa watu?!

Kwa akili yako rais anaeza fanya mkutano mbele ya hao wananchi 10 .
Picha halisi za mkutano umeziruka unatag picha ya unafki afu ndio mnataka akili hiz tuwape nchi
 
Nimeangalia hizo pia na ile ya kwanza watu wakisombwa na kirikuu bila kuzibgatia usalama wao kwenda kwenye mkutano wa rais. Ukiona CCM ina struggle Tandahimba basi ujue hali ni mbaya!
 
Umefatilia kilichojiri kwenye mkutano kujua kama kina faida au umetaka kujua kua hakubaliki na wananchi wamenunuliwa kwenda kumpokea?
 
Back
Top Bottom