Duh CCM mna kazi hata Tandahimba mnakosa watu?!
Duh CCM mna kazi hata Tandahimba mnakosa watu?!
We umeona nini hapoMbona watu ni wengi wamejitokeza tofauti na picha uliyoipiga...
Nimeangalia hizo pia na ile ya kwanza watu wakisombwa na kirikuu bila kuzibgatia usalama wao kwenda kwenye mkutano wa rais. Ukiona CCM ina struggle Tandahimba basi ujue hali ni mbaya!Kwa akili yako rais anaeza fanya mkutano mbele ya hao wananchi 10 .
Picha halisi za mkutano umeziruka unatag picha ya unafki afu ndio mnataka akili hiz tuwape nchi
Acha shobo mtoto wa kiume utapakatwa uanze kuliaRais wetu Dkt Samia tunampenda mno mno!
Nimeangalia hizo pia na ile ya kwanza watu wakisombwa na kirikuu bila kuzibgatia usalama wao kwenda kwenye mkutano wa rais. Ukiona CCM ina struggle Tandahimba basi ujue hali ni mbaya!