Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 1,143
- 2,475
Aaahaaah kwamba kna nguvu kama ccm hawa ccm ambao wasmamizi wa uchaguz wote ni makada wa ccm watangaza matokeo wote ni makada wa ccm na wameteuliwa na mwenyekiti wa ccm magufuri aliwahi sema nimekupa gari na mshahara halafu utangaze mpinzan ameshnda ccm hawahawa ambao wameweka makada wao mpk kwny jeshi la polisi hawahawa ambao hawataki chadema wafanye shughuri zao ndo wenye nguvu labda nguvu ya kuwa na makada kwny tume ya uchaguz na kuwa na makada kwny majesh yote tz