Yanayojiri kwenye Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji: FRELIMO (Chama rafiki ya CCM) kushinda Uchaguzi 09 Oktoba?

Yanayojiri kwenye Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji: FRELIMO (Chama rafiki ya CCM) kushinda Uchaguzi 09 Oktoba?

Aaahaaah kwamba kna nguvu kama ccm hawa ccm ambao wasmamizi wa uchaguz wote ni makada wa ccm watangaza matokeo wote ni makada wa ccm na wameteuliwa na mwenyekiti wa ccm magufuri aliwahi sema nimekupa gari na mshahara halafu utangaze mpinzan ameshnda ccm hawahawa ambao wameweka makada wao mpk kwny jeshi la polisi hawahawa ambao hawataki chadema wafanye shughuri zao ndo wenye nguvu labda nguvu ya kuwa na makada kwny tume ya uchaguz na kuwa na makada kwny majesh yote tz
 
Waangalizi wa uchaguzi wa Mozambique kutoka Jumuiya ya Ulaya EU:

“Kazi yetu Umoja wa Ulaya ni kukusanya, kuchambua na kuchakata taarifa bila kuingilia mchakato wa uchaguzi.

Kila siku tunakutana na vyama vya siasa, tume na wasimamizi uchaguzi, vyombo vya habari, mashirika ya kiraia, na wapiga kura katika kila wilaya ya mkoa wetu. Ni kazi inayohitaji shauku na udadisi kuhusu tamaduni zingine”.

The European Union Election Observation Mission in Mozambique 2024:


View: https://m.youtube.com/watch?v=5tUBznmuDqQ

“Our job is to collect, process and analyse information without interfering in the process. Every day we meet with political parties, electoral bodies, media, civil society, and voters in every district of our province. It’s a job that needs interest and curiosity about other cultures”.

14 Oktoba 2024
Dodoma.

NAIBU KATIBU MKUU CCM-BARA AFANYA MAZUNGUMZO NA KANSELA KUTOKA UBALOZI WA NORWAY TANZANIA

alternative


Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg.John Mongella amekutana na kufanya mazungumzo na Kansela kutoka Ubalozi wa Norway Ndg.Ingrid Norstein kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma leo tarehe 09 Oktoba,2024

alternative
alternative
alternative
 
Maputo Mozambique

CHAMA DOLA KONGWE FRELIMO CHAPIMWA KTK MZANIA WA JE UCHAGUZI 2024 NI WA, HAKI

View: https://m.youtube.com/watch?v=FU8t5Lhhkxg

Mgombea huru wa urais wa Msumbiji Venâncio Mondlane anasema ataitisha mgomo wa nchi nzima na kuleta nchi hiyo kusimama ikiwa chama tawala, Frelimo, kitadai ushindi katika uchaguzi wa rais.

Dk Alexander Rusero mhadhiri , mwandamizi wa Jukwaa la Afrika katika Taasisi ya Pan African Narratives nchini Zimbabwe akipima mchakato mzima wa kuhesabu kura za uchaguzi nchini humo Mozambique
 
Matokeo ya uchaguzi mkuu wa 9 Oktoba 2024 nchini Mozambique yanaendelea kuingia taratibu, na majumuisho endelevu yanatoa picha hali ilivyo hadi 14 Oktoba 2024 huku zoezi likiendelea la majumuisho :

WATCH LIVE: Venancio Mondlane leading in Mozambique

View: https://m.youtube.com/watch?v=C3PGFuQt_5A
Presidential electionsWATCH LIVE as Gambakwe looks at the stunning lead by the opposition presidential candidate in Mozambique, Venancio Mondlane.The opposition party is showing great leadership with Venancio issuing press conferences and parallel voter tabulations as the counting continues.KEY EVENTS FOR TODAYAttached is the update of the actual data of the Mozambique General Elections in the 11 provinces of the country:IN MAPUTO TOWN
  • Daniel Chapo: 25.42%
  • Venâncio Mondlane: 69,98%
  • Osufo Momade: 1.95%
  • Luther Simango: 2.65%
IN MAPUTO PROVINCE
  • Luther Simango: 3.47%
  • Daniel Chapo: 32.80%
  • Venâncio Mondlane: 61.51%
  • Osufo Momade: 2.22%
AT GAZA PROVINCE
  • Luther Simango: 6.32%
  • Daniel Chapo: 54.90%
  • Venâncio Mondlane: 37.13%
  • Osufo Momade: 1.65%
IN INHAMBANE PROVINCE
  • Luther Simango: 4.68%
  • Daniel Chapo: 48.10%
  • Venâncio Mondlane: 38.85%
  • Osufo Momade: 8.27%
IN THE PROVINCE OF SOFALA
  • Luther Simango: 3.15%
  • Daniel Chapo: 35.61%
  • Venâncio Mondlane: 57.76%
  • Osufo Momade: 3.41%
IN THE PROVINCE OF MANICA
  • Luther Simango: 3.83%
  • Daniel Chapo: 28.12%
  • Venâncio Mondlane: 65.15%
  • Ossufo Momade: 2.90%
IN TETE PROVINCE
  • Luther Simango: 2.06%
  • Daniel Chapo: 41.11%
  • Venâncio Mondlane: 50.46%
  • Osufo Momade: 6.38%
IN THE PROVINCE OF ZAMBIA
  • Luther Simango: 0.95%
  • Daniel Chapo: 36.14%
  • Venâncio Mondlane: 57.89%
  • Ossufo Momade: 5.52%
AT THE PROVINCE OF NAMPULA
  • Luther Simango: 1.61%
  • Daniel Chapo: 36.80%
  • Venâncio Mondlane: 54.44%
  • Ossufo Momade: 7.15%
IN CAPE DELGADO PROVINCE
  • Luther Simango: 3.20%
  • Daniel Chapo: 37.60%
  • Venâncio Mondlane: 53.95%
  • Ossufo Momade: 5.25%
AT NIASSA PROVINCE
  • Luther Simango: 4.52%
  • Daniel Chapo: 49.90%
  • Venâncio Mondlane: 40.72%
  • Osufo Momade: 4.86
 
Chama tawala Msumbiji kwa sasa kimebaki kutegemea polisi ili watangazwe washindi. Kura hazikutosha. Poleni FRELIMO
 
Wale bado wapo wapo sana, maana raia wa ile nchi hawajielewi.
Kama ilivyo Tanzania ba CCM yake, zidumu fikra za mwenyekiti ambaye ni mshamba ,mjinga , jambazi
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Vyama vinavyojiita vya ukombozi vinatumia jina ukombozi kunufaisha viongozi wake na aio wananchi. Ile ukombozi ilishaondoka baada ya wale walioanzisha kufariki.

Angalia ANC wasauzi wameona bora warudishe wazungu maana rushwa ni balaa, ZANU PF, Frelimo, ccm, chama za M7 nk.a

Nchi za kusini ya jangwa la sahara ili tuendee tunapaswa kuondoa vyama vya ukombozi, havina tena dhana ya ukombozi.
 
Back
Top Bottom