Yanayojiri leaders muda huu kuaga mwili wa Adam Kuambian

Warumi.....Wasanii wengi walikuwa hawajui makazi halisi ya marehemu.....usiwahukumu kwa huu msiba wa juzi kati.
Nadhani ulikosea timing tu...by the time wanajikusanya,wewe ukawa umesepa.

Yes nadhani uko sahihi kwa kiasi chake, ila msiba ulishatangazwa utakuwa nyumbani kwa marehemu(kwa mke wake) bunju, na mimi nilienda jumamos usiku kama saa tatu ivi, yaani ki ukweli sidhan hat kama majiran walikuwepo, nilikuta watu wasiozid nane tu na magar yasiozid kumi kwenye msiba hakuna cha bongo movie niliyemuona wala comedian
 
Tena wengi walikua wanacheka Mtitu anaweka shada kaburini huku anabasamu lol utafikiri yupo kwenye graduation

Wanafiki , kule bunju ushirikiano ziro, yan binamu palidoda had mtu unaona aibu kupiga umbea maana palikuwa kimya watu sijui nane wale, na umbea wangu nikaumbuka, wasanii wengi bunju hawakwenda, kwenye mazishi had maimartha kaenda mchezo, yaan show off tu ziliwapeleka
 
Tena wengi walikua wanacheka Mtitu anaweka shada kaburini huku anabasamu lol utafikiri yupo kwenye graduation

halafu warumi hakuzungumzia leaders,ye alizungumzia nyumbani kwa marehemu,kulikuwa na watu wachache tofauti na misiba mingine.Sema mijitu mizima hovyoo inaleta umbea long live warumiiiiiiiiiii!
 
halafu warumi hakuzungumzia leaders,ye alizungumzia nyumbani kwa marehemu,kulikuwa na watu wachache tofauti na misiba mingine.Sema mijitu mizima hovyoo inaleta umbea long live warumiiiiiiiiiii!

Umeonaa eeee tatizo hawasomi maelezooo wanakurupuka tu mfyuuuuuu zaooooooooo
 
kweli wewe chiboko, ulikuta magari 10 na watu 8? nadhani magari mengine yaliletwa na break down.
 
kweli wewe chiboko, ulikuta magari 10 na watu 8? nadhani magari mengine yaliletwa na break down.
Ha ha ha ha jamen labda yalikuwa ya pale pale
eti yaliketwa na break dowm umenchekesha mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…