warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Warumi.....Wasanii wengi walikuwa hawajui makazi halisi ya marehemu.....usiwahukumu kwa huu msiba wa juzi kati.
Nadhani ulikosea timing tu...by the time wanajikusanya,wewe ukawa umesepa.
Yes nadhani uko sahihi kwa kiasi chake, ila msiba ulishatangazwa utakuwa nyumbani kwa marehemu(kwa mke wake) bunju, na mimi nilienda jumamos usiku kama saa tatu ivi, yaani ki ukweli sidhan hat kama majiran walikuwepo, nilikuta watu wasiozid nane tu na magar yasiozid kumi kwenye msiba hakuna cha bongo movie niliyemuona wala comedian