Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Elimu haina mwisho....kas0me u0nd0e ujinga uli0na0.....Nafurahi sana natamani nirudi shule nikasomee sheria ila ndiyo vile wakati ukuta
Elimu haina mwisho....kas0me u0nd0e ujinga uli0na0.....Nafurahi sana natamani nirudi shule nikasomee sheria ila ndiyo vile wakati ukuta
Open chambee imejaa mawakili nguli hakuna bashite hata mmoja,kiswahili cha nini.Kibatala aache mambo ya ajabu...sasa uwepo wa mahakama ya wazi kwa umma ni ujumuishi....wengi hawajui kiingereza sasa anataka "self c0ngrat0ry" kwa kumwaga ng'eng'e ?!! Ha ha ha ha
lakini anahenyeshwa kama pakaMama samia Lissu sio Level zako wewe mtoto mdogo Sana kwa Lissu muda utaongea
Kama huyu ndiye mwenye akili huko ccm basi hicho chama kimejaa Maiti.Job Mrema, moja kati ya mawakili wa serikali wenye akili mingi, Jiwe akamuonea kumpeleka Kagera Regional Secretariat
Alafu Mkunazi Njiwa si nimesema nikikomenti popote sitaki unijibu ?Elimu haina mwisho....kas0me u0nd0e ujinga uli0na0.....