njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Kweli hawawajui kabisa mkuu wale jamaa kwa ngono hawafaiNyie hamuwajui South Africans.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hawawajui kabisa mkuu wale jamaa kwa ngono hawafaiNyie hamuwajui South Africans.
Barabara ya Mbujimayi hadi Kabinda
Keki ya taifa haina gawio sawa kati ya Kinshasa na majimbo yaliyo mbali kiasi raia wanaona ni wakubwa viongozi ndiyo wanajifaidisha
View: https://m.youtube.com/watch?v=Amfh5_Ol8Ic
Kweli hawawajui kabisa mkuu wale jamaa kwa ngono hawafai
23 February 2025
GOMA, KIVU
DR Congo
MATEKA AMBAO NI POLICE WA SERIKALI YA DR CONGO WAWASILI KWA MELI KUTOKA BIKAVU
View: https://m.youtube.com/watch?v=m4e4aJvcQfQ
Meli iliyojaa askari police ambao yamebwaga silaha zao na kuwa mateka wakati M23 walipoingia mjini Bukavu na kutoa wito wajisalimishe, wamewasilia bandarini Goma
Askari police hao waliwasili kwa meli yenye usajili wa Emmanuel 2 inayopiga kazi katika ziwa Kivu. Mateka hao watapitishwa katika programu maalum ya kuwapata mafunzo ya kuondoa propaganda mbaya na itikadi hasi walizofundishwa na serikali ya Kinshasa.
Baada ya programu hiyo watajumuishwa katika M23, na kabla ya kushuka wakihojiwa walitendwa vipi wakiwa mateka, askari polisi hao wamesema wamepewa haki zao zote za msingi kama mateka ambao ni raia wa Congo, na kuwa wanashauku kuigizwa katika programu ya M23 ya vuguvugu la movement ya kuwakomboa wacongomani na haki sawa kwa wote bila kujali kabila au nasaba za raia wote wa Congo.
View: https://m.youtube.com/watch?v=-lnwaaGs0uU
Kwasasa wameshachelewa, pale mawili kupitisha upanga wa vita iingie mpaka Rwanda na Kagame apigwe kwelikweli ampaka akimbie nchi au Congo wakubali kuigawa 2 state lakini wajue wanaenda kumnufaisha rasmi Rwanda na hiyo Congo ya 2 itaendelea kubaki maskini tuDRC ni nchi kubwa sana. The largest ukiiondoa Algeria ambayo sehemu yake kubwa ni jangwa. Inahitaji uongoza makini sana kufikisha maendeleo kila sehemu. DRC is more than 2 times the size of Tanzania, huku mvua zikinyesha karibu mwaka mzima kwakuwa ni eneo la kiikweta. Bila kusahau Msitu wa Kongo nk ni challenges zinazohitqji dedication kubwa sana kudeal nazo. Kwa viongozi wetu hawa wa Kiafrika ni ishu kwelikweli.
DRC ni nchi kubwa sana. The largest ukiiondoa Algeria ambayo sehemu yake kubwa ni jangwa. Inahitaji uongoza makini sana kufikisha maendeleo kila sehemu. DRC is more than 2 times the size of Tanzania, huku mvua zikinyesha karibu mwaka mzima kwakuwa ni eneo la kiikweta. Bila kusahau Msitu wa Kongo nk ni challenges zinazohitqji dedication kubwa sana kudeal nazo. Kwa viongozi wetu hawa wa Kiafrika ni ishu kwelikweli.
Inaonesha hayakuwa kujitayarisha kuishughulikia majeshi ya waasi wa M23 bali lengo lilikuwa kukamilisha tamko la Tshisekedi kuwa wataipiga Rwanda na kubadilisha uongozi wa kiserikali uliopo nchini Rwanda..The missiom was to topple the Rwandan government and that mission has aborted
Duh!... jeshi la sasa la Africa kusini sio tishio kama Lile la enzi ya makaburu.kati ya majeruhi hao, angalau wanajeshi 5 wamejeruhiwa sana (seriously wounded) na wawili ni wajawazito.
Taarifa za wanajeshi wajawazito zimezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii huku raia wa SA wakihoji iweje wanajeshi wapate ujauzito katikati ya mission? Hali hiyo imeibua mjadala mrefu hata kuliko taarifa ya idadi ya majeruhi hao kwa ujumla.
Kwani ukiwa vitani unatolewa viungo vya uzazi? Vitani siyo wote wanapigana, wengine kazi Yao ni kuwawezesha wengine wapigane. Pia hata vitani kunawakati wa kupumzika.Kwa nn wanafanya ngono wakiwa vitan??
Huu ni uhuni
23 February 2025
GOMA, KIVU
DR Congo
MATEKA AMBAO NI POLICE WA SERIKALI YA DR CONGO WAWASILI KWA MELI KUTOKA BUKAVU
View: https://m.youtube.com/watch?v=m4e4aJvcQfQ
Meli iliyojaa askari police ambao yamebwaga silaha zao na kuwa mateka wakati M23 walipoingia mjini Bukavu na kutoa wito wajisalimishe, wamewasilia bandarini Goma
Askari police hao waliwasili kwa meli yenye usajili wa Emmanuel 2 inayopiga kazi katika ziwa Kivu. Mateka hao watapitishwa katika programu maalum ya kuwapata mafunzo ya kuondoa propaganda mbaya na itikadi hasi walizofundishwa na serikali ya Kinshasa.
Baada ya programu hiyo watajumuishwa katika M23, na kabla ya kushuka wakihojiwa walitendwa vipi wakiwa mateka, askari polisi hao wamesema wamepewa haki zao zote za msingi kama mateka ambao ni raia wa Congo, na kuwa wanashauku kuigizwa katika programu ya M23 ya vuguvugu la movement ya kuwakomboa wacongomani na haki sawa kwa wote bila kujali kabila au nasaba za raia wote wa Congo.
View: https://m.youtube.com/watch?v=-lnwaaGs0uU
Jeshi la sasa la Afrika Kusini halina ulazima wa kuwa tishio kama zamani.
SANDF ya enzi za makaburu ilikuwa hatari kweli kweli...Wacuba na Wasoviet waliokuwepo Angola wanakiri hilo.Jeshi la sasa la Afrika Kusini halina ulazima wa kuwa tishio kama zamani.
Zamani hawakuanza wakiwa tishio, kuna mambo yalisababisha. Ni kama Rhodesia ilivyokuwa na jeshi tishio kuliko Zimbabwe iliyofuatia.
Vilevile wanajeshi kufa sio ajabu. Nashangaa watu wanaoshangaa wanajeshi wa Afrika Kusini kufa, mnajua SA ilipoteza wanajeshi wangapi vita ya Angola? Hao Rwanda wenyewe wanakufa mamia ya wanajeshi huwezi sikia kelele wala mshangao. Whats so special na SA kufiwa wanajeshi.
Makabulu walikuwa wazungu mkuu kumbuka Hilo.SANDF ya enzi za makaburu ilikuwa hatari kweli kweli...Wacuba na Wasoviet waliokuwepo Angola wanakiri hilo.
SANDF ya sasa inakabiliwa na upungufu mkubwa wa Bajeti, kushuka Sana kwa professionalism ( ndio maana wapo waliorudi kutoka Drc na ujauzito), Rushwa/ufisadi wa manunuzi ya zana ndio maana hata kule CAR na Drc wamepata fedheha.
Kiufupi SANDF ya sasa ni kivuli tu cha SANDF ya enzi za makaburu