mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 658
hapo kuna unafiki mkubwa sana...watawataja wauza watumwa akina sheikh M Mkwawa,sheikh Kinje na Abushiri jinsi walivyo wapiga wamisionary walioingilia biashara yao ya utumwa.
Nikusaidie......sitaki lisema muda huu..Ndio maana nikaanza kwa kuuliza kwanini lilifichwa,pamoja na kinje...labda nikusaidie tuu...Adam Sapi Mkwawa alipata wapi dini ya kiislam?Kwa uelewa wangu ili uwe mwislamu lazima upewe mojawapo ya jina la kiislamu, naomba uniambie MKwawa alikuwa anaitwa nani? Na kinjekitile alikuwa anaitwa nani? La sivyo huna unalolijua kazi yako kukashifu wazee wetu waliopigana na kumwaga damu ili tusitawaliwe na mkoloni.
Hata mi nimeliona hilo labda ukute ana ulinzi usioonekana.
Baba sisi huku kwetu tunafanya chochote wakubwa wanakifanya.
Kazi yetu kukopi tuuuuuuu lakin mtemi milambo, Isike, Mangi walikuwa na walinzi lakin hawakujuwa kama ipo miwani myeusi - FBI & CIA Effect
Ukweli si ngumu kufanya asassination kihivyo....ila kwa leo ni ngumu kwa vile kuna usalama hadi wa mataifa mengine...ila mitaani.Kunahitaji tuu utulivu wa umma.Waaalamu wengi tuu wanakubali hilo...bahati nzuri issue km hizo zinahusisha watu wengi ktk mipango ndio maana zina fail.ila lone person akiamua kufanya bila mwambia mtu ila ana plann after tukio afanye nini si ngumu.Hata mi nimeliona hilo labda ukute ana ulinzi usioonekana.
Kwa nini JK anapenda sana kucheka?
Wote ni Comando wa Jeshi la Wananchi tofauti yao ni kuwa Marine wao baada ya kumaliza kozi ya comando walipelekwa Navy kwa ajili ya kazi za baharini zaidi. Marine imeanzishwa co muda mrefu sana, kama sikosei ni kama miaka 2 na nusu.Endapo Tu Nitajulishwa Kama Si Kufahamishwa Tofauti Kubwa Kati Ya MARINES SPECIAL FORCE Wanaovaa Kofia Za Bluu Na COMMANDO Wanaovaa Kofia Rangi Ya Damu Ya Mzee.
Nitawashukuruni Mno Kwa UFAFANUZI Wenu Kwani Nataka Kujipanga ILI Nijiunge Na Kikosi Kimoja Wapo Hapo!
Wote ni Comando wa Jeshi la Wananchi tofauti yao ni kuwa Marine wao baada ya kumaliza kozi ya comando walipelekwa Navy kwa ajili ya kazi za baharini zaidi. Marine imeanzishwa co muda mrefu sana, kama sikosei ni kama miaka 2 na nusu.
Napata kuamini hili kwamba Muungano ulipo sasa ni wa kinafiki na anganya toto kwa Watanzania kwamba kuna Muungano wakati in real sense ni usanii tu. Turudi kwenye mada ni kwamba Zanzibar ni Koloni la Tanzania bara, YES, Napata kuamini hivi kwa mambo yafuatayo:
1. Rais wa Tanzania Bara ndo mgeni rasmi kwenye sehrehe za Muungano
2. Rais wa Tanzania Bara ndo anapigiwa mizinga 21 kwenye sherehe hizi
3. Rais wa Tanzania Bara ndo anaimbiwa wimbo wa Taifa.
4. Rais wa Tanzania Bara ndo anakagua parade ya jeshi letu.
5. Rais wa Tanzania Bara anapewa heshima zote kwenye sherehe hizi.
6. Gwaride la heshima linapita mbele kwaajili ya Rais wa Tanzania Bara na sio wa Zanzibar
7. Huku Rais wa Zanzibar akitoa udenda pale jukwaani kwa yale anayofanyiwa Rais wa Bara.
8. Akili za viongozi wa Zanzibar zikiwa zimeshikiwa Bara.
9. Kwa haya yote Napata kuamini hakuna Muungano bali, Zanzibar ni Koloni la Tanzania Bara huku kiongozi wa Zanzibar akiwa kama Mayor wa kufanikisha unyonyaji huu.
WATANGANYIKA TUFURAHIE MIAKA 51 MUUNGANO TANGANYIKA NA KOLONI LETU (ZANZIBAR)
Wanabodi,Kikatiba, muungano wetu ni union, yaani taifa moja la Tanzania ambalo ni a United Repulic of Tanzania, lenye rais mmoja tuu, kwa sasa ni Jakaya Kikwete. Japo nchi zetu ni nchi mbili zilizoungana, bado zina serikali mbili lakini sio marais wawili, ndani ya set up ya muungano, Amiri Jeshi ni mmoja tuu, rais wa JMT!. Kwenye setup ya muungano, rais wa Zanzibar ni nobody, ila ili asijisikie he is nothing, amepewa uwaziri usio na wizara maalum ndani ya JMT hivyo anaingia ndani ya cabinet.
Pasco