Namimi ndio naamka hivi nakuta kombe tayari lipo kwetuMi nilichapa usingizi nimeamka muda ule ulivyo niona hapa. We lala saa 2 asubuhi ndio watamalizana na hili zoezi naona ππ
Lissu ni nabii!Mungu anampenda Lissu.
Aliyemtetea Lissu dhidi ya mashambulizi ya risasi na akatoka hai ndiye huyohuyo aliyemtetea na leo atoke na ushindi dhidi ya dhalimu Mbowe.
Tuliza munkari.Natumaini, Lisu,utafanya ulichokuwa unakihubili, usije ukawa kama William Ruto, aliwaamisha watu ye ye ni Bora, walipokuja kushituka, ni mtu mbovu kuliko wore, tangu Uhuru!
Kumbe tuliona wengi!! Mimi ilibidi nizime data maana nlikua naskia kuchanganyikiwa hivi. Jamaa mikaratasi kama yote, nkajua Mbowe kazoa 90%.Ila Boniyai aliweza kuwapa watu pressure kwa kukusanya zile kura kimlima huku Lema akisambaza kura zake mezani kama vile hana kitu.
Watu wakajua ndio basi tena ushindi unaenda Machame π€£π€£ ephen_
Mkuu hii account ni official ya Sultan Mbowe?
Mbowe amejua jinsi ya kujinasua kwenye lawama na mtego wa kina Abduli
Hahaha asee watu walipagawa halafu kuna muda akawa anazipokea yeye mfululizo nikasema hapa basi tena π€£π€£Kumbe tuliona wengi!! Mimi ilibidi nizime data maana nlikua naskia kuchanganyikiwa hivi. Jamaa mikaratasi kama yote, nkajua Mbowe kazoa 90%.
Nitawaelezea kwann Mbowe aliamua kukomaliaa kugombea.Umeongea point kubwa sana.
FAM mtoto wa mjini, kapiga mpunga halafu kashindwa uchaguzi.
Tumesha jua hatuhitaji kujua tena, neno ka kwanza ndio la kweli linalo fuatia linakuwa na chumvi nyingi inayo pelekea si kweli.Ushindi wa Lissu utatufanya tujue mengi maovu ya Mbowe aliyoyamezea mate.
Ututumie na HeLa ya kula hayo makangeKwa wale ambao sio wapenzi wa pombe embu tuhakikishe leo tunakula makange ya kuku au ya mbuzi mchana na usiku.
Hela yake tumekula na hatujamchagua
Watu wa diaspora alfajiri walianza kutoa maneno kuwalaani wajumbe walidhani FAM ataongoza kwa kuraπHahaha asee watu walipagawa halafu kuna muda akawa anazipokea yeye mfululizo nikasema hapa basi tena π€£π€£