Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Siasa walizofanya. Mbowe alikuwa anajua wanachokifanya. Wakawa wanawafix baadhi ya watu lakin kukipa chama relevance.Hapo kwenye mtoto wa mjini. Tulisikia pia kuwa jogoo wa shamba hawiki mjini. Ila huyu kawika.
Leo kwa mchezo ulivyoenda, ni lazima watu wengi watakiamini chama. Hiki ndicho kililuwa msingi mkubwa.