Why?We care nothing
Mzee umeamka na hasiraAngejitowa Chadema na ccm tofauti yenu ingekuwa ni ipi?
Kilichofanyika Dodoma hakuna mtu mwenye akili timamu anataka upumbavu kama ule.
Usiseme hivyoπ mimi mwenyewe ni tukunyemaUlishawahi ona taahira mwembamba?π€£
Pia hana upako, sio?Hana adabu
Hana uzalendo
Hana desturi njema
Hana amani popote alipo kivuruge tuu
ccm needs to come on a drawing table again .. drafting a things to counteract this
ccm were busy doing dramas on saturday and friday but this is a new counterfeit
anyway mbowe drafted all this and congrats to him its different from what people sees chadema is widely and more talked right now than how it was talked about in 2010
and ccm how stupid and stupendelously they are they have given lissu such an easy opponent maybe we may see much colours from march
its getting busy on white house
anyway we should not be much excited , maybe kijana is also a part of system well trained one than others than zitto than mbowe and he will keep ccm on check lots of black noises syste have
Sisiem hawataki kusikia ila kidizaini wameshamwogopa baada ya baba yao jiwe kushindwa hiyo vitaMungu ana makusudi nae, watu kama hawa si wa kugusa
We who? Speak of yourselfWe care nothing
Anataka mbeleko huyoMatokeo gani unayotaka mkuu
Ha ha ha kwahiyo unasubiri nianze kukufata PM? Sawa nakuja.Fanya wepesi na sie tushangilie ushindi wa TAL
Af leo najiunga na chama rasmi so itakuwa ni makange ya kunipokea
ππhaja tweet wala kufeed ista
Mkongwe, umeachana na matumizi ya Kiswahili siku hizi?ccm needs to come on a drawing table again .. drafting a things to counteract this
ccm were busy doing dramas on saturday and friday but this is a new counterfeit
anyway mbowe drafted all this and congrats to him its different from what people sees chadema is widely and more talked right now than how it was talked about in 2010
and ccm how stupid and stupendelously they are they have given lissu such an easy opponent maybe we may see much colours from march
its getting busy on white house
anyway we should not be much excited , maybe kijana is also a part of system well trained one than others than zitto than mbowe and he will keep ccm on check lots of black noises syste have
Aka tunakala kichwa
Naamini pamoja ya kwamba ni mwanamke, maumivu unayopata ni sawa na mwanaume alokuzalisha watoto kama wanne, akakuachisha kazi, na sasa amekuacha.We care nothing
ππHa ha ha kwahiyo unasubiri nianze kukufata PM? Sawa nakuja.
Kenge hasikii mpaka Damu,Tunasuka team kimya kimya na kwa umakini sana.
Huku TAL, kule Mwabukusi. Mwishoni CCM watastukia wamewekwa mtu kati kama wanajesgi wa ukraine.
Lissu ni kama Trump. Umakini upo na burudani ipo.Matumbo joto kama nawaona
Ila kwa umakini Mbowe
Kwa burudani Lissu
Mashabiki wake hawawezi kukuelewa leo, ila muda ni mwalimu mzuri.Hana adabu
Hana uzalendo
Hana desturi njema
Hana amani popote alipo kivuruge tuu